Private-eye
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,069
- 1,212
Nadhan tutengeneze mwenge wa digital .....watu watumiwe kwa watsup...huo muda na rasilimali tunazotumia kukimbiza moto...tufanyie mambo mengine!
Tukubaliane kutokukubaliana basi, sawa.Bora ukaacha kuwa miongoni mwetu kuliko kujifanya uko miongoni mwetu.
Moto wa mwenge ni aina ya dragon fire,hivyo mwenge umetushika maskio kwa imani za far east huko china na Thailand hivyo dragon imewafanya wachina wanyongwe na hawajawahi piga kelele za adhabu za kinyonyaji za kichina tunaomba mtu atupe mwanga tunaisha na dragonSikuwahi kabla kushuhudia mwenge wa Uhuru hasa mkesha, mwaka huu nikasema nijisogeze nione kuna nini.
Tangu Siku ile najikuta nimeanza kuwa MTU wa hovyo hovyo tu.
Wanabodi,
Hili ni swali tuu najiuliza kuhusu hizi mbio za Mwenge wa Uhuru zinazoendelea sasa. Kwenye Mwenge kinachokimbizwa nchi nzima, jee kweli ni ule mwanga tuu ili kumulikia na kuangazia, au ni ule moshi mzito mweusi kana kwamba kuna dawa fulani za uvumba zinazonyunyuziwa kama ubani, kisha zinatumika na Mwenge kuwafukiza Watanzania ili kuendelea kuwapumbaza ili waendelee....(naomba nisimalizie).
Rais Magufuli alipoingia tuu madarakani na kufuta maadhimisho ya sherehe muhimu kama ya Uhuru kwa hoja kuwa hazi justify the cost for spending so much kwenye sherehe tuu huku hospitali zetu zikikosa madawa na wagonjwa wanalala chini kwa ukosefu wa fedha. Moja kwa moja nilidhania kuwa sasa huu ndio utakuwa mwisho wa kuzungusha kwa Mwenge wa Uhuru. Lakini hali haikuwa hivyo.
Hivyo hili ni swali kwa wenye ufahamu wa ndani kuhusu huu Mwenge, tuelezane ukweli jamani. Kinachozungushwa ni Mwenge lakini the essence ni ule mwanga tuu wa kumulikia au ni ule moshi unaofukizwa kama vile umetiwa mavumba fulani kuwapumbaza Watanzania?!.
.
Kama Tanzania tunataka maendeleo ya kweli ni lazima tuwe very serious kwa kuachana na kuendekeza matukio stereotype na kumaitains positions ambazo ni redundancies just to maintain a status quo, kwa vile zilikuwepo! .
When are we gonna change? . Yaani kwa Magufuli huyu aliyefuta sherehe za Uhuru lakini ana maintain mbio za Mwenge, huu Mwenge una nini haswa? . Tuelimishane jamani!.
Jumatano njema.
Paskali
update.
Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru
Kwa hiyo mwenge una mauzauza au..HahaaaaSikuwahi kabla kushuhudia mwenge wa Uhuru hasa mkesha, mwaka huu nikasema nijisogeze nione kuna nini.
Tangu Siku ile najikuta nimeanza kuwa MTU wa hovyo hovyo tu.
Nadhani ni side B ya kukusanya mapato ya serikali.Walimu ndio maana wakowako tu
Swissme
Alafu katoa sababu nyepesi nyepesi zisizokuwa na mashiko yoyoteRais Magufuli, amethibitisha kulisoma bandiko hili, amelikana kuwa anawashangaa sana wanamtaka aufute, hivyo kamwe hataufuta.
P.
Uchawi upo serikalini ila hauwezi kuthibitishwa hata mahakamani ndio maana utasikia wanasema serikali haiamini uchawi.KAMA INGEKUWA NI UCHAWI WALE WAZEE WANGU WA KULE NYANDA ZA JUU KUSINI NI LAZIMA WANGEFANYA MAZOEZI YA KUUZIMA KWA KUTUMIA WAZEE WETU LAKINI MBONA WALISHINDWA AU SERIKALI NI WACHAWI ZAIDI KUZIDI WATAALAMU WA VIJIJI VYOTE HVI VYA TANZANIA
million 400 zilitengwa!!!Hivi garama za mbio za Mwenge ni bilion ngapi?
Ova
Kwa hiyo raisi wa zanzibar hatapigiwa mzinga tena.Nafuatilia kuzimwa kwa mwenge Zanzibar, mgeni rasmi ni Rais wa JMT, Dr. John Pombe Magufuli ambapo hili ndilo tukio la kwanza kwa kumbukumbu yangu, rais wa JMT anakuwa Zanzibar na kupewa heshima halisi ya rais wa JMT kupata the highest protocols, siku zote rais wa JMT akiwa Zanzibar, anakuwa second to rais wa Zanzibar.
This is good.
P.