Mwenge: Ni Mwanga Tu Au Kuna Uvumba Fulani Unafukizwa Ili Kupumbaza Watanzania? Is it Justified?.

Nadhan tutengeneze mwenge wa digital .....watu watumiwe kwa watsup...huo muda na rasilimali tunazotumia kukimbiza moto...tufanyie mambo mengine!
 
Nafuatilia kuzimwa kwa mwenge Zanzibar, mgeni rasmi ni Rais wa JMT, Dr. John Pombe Magufuli ambapo hili ndilo tukio la kwanza kwa kumbukumbu yangu, rais wa JMT anakuwa Zanzibar na kupewa heshima halisi ya rais wa JMT kupata the highest protocols, siku zote rais wa JMT akiwa Zanzibar, anakuwa second to rais wa Zanzibar.

This is good.

P.
 
Sikuwahi kabla kushuhudia mwenge wa Uhuru hasa mkesha, mwaka huu nikasema nijisogeze nione kuna nini.

Tangu Siku ile najikuta nimeanza kuwa MTU wa hovyo hovyo tu.
Moto wa mwenge ni aina ya dragon fire,hivyo mwenge umetushika maskio kwa imani za far east huko china na Thailand hivyo dragon imewafanya wachina wanyongwe na hawajawahi piga kelele za adhabu za kinyonyaji za kichina tunaomba mtu atupe mwanga tunaisha na dragon
 


Mwenge ni ibada ya miungu, Mtanzania yeyote anayeshiriki mwenge anamdhihaki Mungu. Halafu umejaa ushirikina, yamkini upo kwa ajili ya kupumbaza fikra za wananchi. atakyebisha ni mchawi na mshirikina
 
Yani hii report aliyokabidhiwa Rais na mwenge umetembea nchi nzima....

Ni upotevu mkubwa wa mali..
 
KAMA INGEKUWA NI UCHAWI WALE WAZEE WANGU WA KULE NYANDA ZA JUU KUSINI NI LAZIMA WANGEFANYA MAZOEZI YA KUUZIMA KWA KUTUMIA WAZEE WETU LAKINI MBONA WALISHINDWA AU SERIKALI NI WACHAWI ZAIDI KUZIDI WATAALAMU WA VIJIJI VYOTE HVI VYA TANZANIA
 
Rais Magufuli, amethibitisha kulisoma bandiko hili, amelikana kuwa anawashangaa sana wanamtaka aufute, hivyo kamwe hataufuta.
P.
 
KAMA INGEKUWA NI UCHAWI WALE WAZEE WANGU WA KULE NYANDA ZA JUU KUSINI NI LAZIMA WANGEFANYA MAZOEZI YA KUUZIMA KWA KUTUMIA WAZEE WETU LAKINI MBONA WALISHINDWA AU SERIKALI NI WACHAWI ZAIDI KUZIDI WATAALAMU WA VIJIJI VYOTE HVI VYA TANZANIA
Uchawi upo serikalini ila hauwezi kuthibitishwa hata mahakamani ndio maana utasikia wanasema serikali haiamini uchawi.

Huko mahakamani kwenyewe balaa, kwenye ofisi za watu wakubwa ndo nuksi zaidi maana unaambiwa kama ni kiongozi na hauko fit basi unakufa kama kuku[emoji23]
 
Hivi garama za mbio za Mwenge ni bilion ngapi?

Ova
 
Kwa hiyo raisi wa zanzibar hatapigiwa mzinga tena.
 
Paskali Mayalla nashukuru kwa maoni yako kuhusu mwenge. Kwangu mimi mwenge ninushirikina kama ulivyo ushirikina mwingine wowote. Mwenge unapata nguvu kwani zaidi ya 90% viongozi wetu wanapata madaraka kwa kupitia kwenye ushirikina. Hivyo wanavyopewa falsafa ya mwenge wanaikubali mara moja kwani inaswihi mienendo yao.

Hivyo naweza kusema kabisa mwenge ni tambiko la nchi na utaondoka tu iwapo ccm itaondoka madarakani, kwani ndio yenye mkataba na ushirikina huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…