Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Kicheko cha masaaHashimu Arafat Makota, kinyozi katika Manispaa ya Sumbawanga, amesema ujio wa Mwenge wa Uhuru umeongeza fursa za kiuchumi kwa wafanyabiashara kutokana na ongezeko la watu, wakiwemo wageni, hali iliyochochea kuongezeka kwa wateja na kipato chao.
Makota amepinga wanaobeza Mwenge wa Uhuru kwa madai ya gharama kubwa, akieleza kuwa manufaa yake yanaonekana kupitia miradi ya maendeleo inayozinduliwa katika maeneo mbalimbali ya nchi na kuchochea ustawi wa wananchi.
View attachment 3689711