NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Weka wewe mkuu mtu anajitahidi anaweka data wewe unaleta upolisi.Wewe ndio yeye nini??? Weka evidence ya vyeti. Hizi ngenge nyingi za mdomoni zipo sana bongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka wewe mkuu mtu anajitahidi anaweka data wewe unaleta upolisi.Wewe ndio yeye nini??? Weka evidence ya vyeti. Hizi ngenge nyingi za mdomoni zipo sana bongo.
Mkuu Dr..Exactly bamia Ni dawa sahih za vidinda vya tumbo tokea namm nianze kuzila Hadi Leo imeisha hyo
Mm pia nilinusurika kuliwa hyo hyo laki tatu na hyu mpuuz rahabu kwa kuniambi hvyo hvyo mjinga Sana [emoji38] yaani umenikumbusha mbali Sana yaani
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
🤣🤣Tumesoma wote india huyo, mimi nipo Coimbatore yeye yupo madras.
Mbabaishaji na tapeli mkubwa wa taaluma.Kiukweli vyeo vya elimu na taaluma vimekosa hadhi ndio maana kila mtu anajipa prof,dokta,mwalimu na mambo kibao.
Mara yangu ya kwanza kumjua dokta mwaka ilikuwa 2011 nilipopanga na ndipo ukweni kwake.
Ila huyu jamaa miaka ya nyuma alikuwa Sheik wa tiba za dua kuondoa majini.
Sijui alisoma upepo kipindi cha nyuma tiba asili ziliwapa pesa sana watu kama marehemu dokta tamba.
Mimi nayofahamu ni hayo
Eti alijifunza tu. Tiba ya binadamu tena ya uzazi sio umakanika wa gari.Dokta mwaka ni mpambanaji ni ukweli na kwa sasa namuona ni daktari bingwa wa tiba mbadala , elimu yake kiundani zaidi siifahamu ila ninachojuwa alijifunza tu tiba asili na akabobea.
Hatred, angalau naye angetoa maelezo(whatever factual details he has) kupinga maelezo yaliyotolewa ufafanuzi, yaani anataka mtu aweke nakala za vyeti vya mtu mwingine. Ni nani anayeweza kuweka nakala za vyeti hata vya aliyekuwa classmate wake sembuse watu waliosoma vyuo tofauti.Weka wewe mkuu mtu anajitahidi anaweka data wewe unaleta upolisi.
Kwa sababu imeshasemwa si dokta wala lolote ni mbabaishaji tu. Ni sawa na Le mutuz akwambie nimesoma huku na huko na kukupa majina ya Colleges za US utaamini??? Huyo Dr. wenu Mwaka ni mbabaishaji na huko India hajasoma lolote kuwadanganya akina mama wa watu. Eti dokta my ass!!!! Hawa ndio akina Musukuma, Babu tale na mkwere na udokta wa michongo. Dokta wa ukweli ana muda kugombania nyumba aliotoa kwa mkewe na ana watoto nae, njaa tu na utapeli.Hatred, angalau naye angetoa maelezo(whatever factual details he has) kupinga maelezo yaliyotolewa ufafanuzi, yaani anataka mtu aweke nakala za vyeti vya mtu mwingine. Ni nani anayeweza kuweka nakala za vyeti hata vya aliyekuwa classmate wake sembuse watu waliosoma vyuo tofauti.
Nimemsikiliza yule jamaa pamoja na kuwa ana usanii mwingi but he is no illiterate, binadamu wamejawa/tumejawa na wivu wa kipumbavu sana.
Negative comments kuhusu watu ndiyo huwa zinapendwa especially na watu walio na frustrations za maisha yao.
Kwa sababu kakosa anataka wote wakose kama kupiga rahisi apige na yeye.Ukiacha upigaji bado kwa doctor mwaka palikuwa au pana kaukweli fulani.Mtu analazimisha mpaka anatia aibu.Aweke yeye vyeti tungekuwa karibu angerusha ngumi nadhani.ALIYEPATA KAPATA.Hatred, angalau naye angetoa maelezo(whatever factual details he has) kupinga maelezo yaliyotolewa ufafanuzi, yaani anataka mtu aweke nakala za vyeti vya mtu mwingine. Ni nani anayeweza kuweka nakala za vyeti hata vya aliyekuwa classmate wake sembuse watu waliosoma vyuo tofauti.
Nimemsikiliza yule jamaa pamoja na kuwa ana usanii mwingi but he is no illiterate, binadamu wamejawa/tumejawa na wivu wa kipumbavu sana.
Negative comments kuhusu watu ndiyo huwa zinapendwa especially na watu walio na frustrations za maisha yao.
Mwizukulu alichokuwa anakitafuta alikipataNimemkumbuka dk mwizikulu jilala na mke wake Nuru Nassor Nora
Haha apumzike kwa amani,nini alikua anatafutaMwizukulu alichokuwa anakitafuta alikipata
Ova
Oya Nakucheki pm kuna mjamaa nataka unieleze kama unamnyaka..aliwahi kutuletea noma Kino miaka mingi nyuma.Mwizukulu alichokuwa anakitafuta alikipata
Ova
Alizaliwa baadaye akaanza kuuza dawaKiukweli vyeo vya elimu na taaluma vimekosa hadhi ndio maana kila mtu anajipa prof,dokta,mwalimu na mambo kibao.
Mara yangu ya kwanza kumjua dokta mwaka ilikuwa 2011 nilipopanga na ndipo ukweni kwake.
Ila huyu jamaa miaka ya nyuma alikuwa Sheik wa tiba za dua kuondoa majini.
Sijui alisoma upepo kipindi cha nyuma tiba asili ziliwapa pesa sana watu kama marehemu dokta tamba.
Mimi nayofahamu ni hayo
- Dr Kigwangalla, alimpiga marufuku asitumie ile picha yake amevaa koti jeupe na Stethoscope Kwa kufanya vile ni kujinasibisha kuwa yeye ni MD tena ana leseni kutoka Medical Council of Tanganyika while si kweli.Hana Elimu yoyote ya Level ya Degree. Na alizuiwa na Dr. Kigwangala kujiita Doctor. Siku hizi ktk matangazo yake ya tiba ana kwepa kutumia Doctor, ana tumiaa Tabibu.
PHD haimfanyi 'anayeiba' kutokuwa mwizi( I mean kama anayo hiyo PHD).kama ni kwel basi sio mwiz
Eti angerusha ngumi [emoji38][emoji1787]Kwa sababu kakosa anataka wote wakose kama kupiga rahisi apige na yeye.Ukiacha upigaji bado kwa doctor mwaka palikuwa au pana kaukweli fulani.Mtu analazimisha mpaka anatia aibu.Aweke yeye vyeti tungekuwa karibu angerusha ngumi nadhani.ALIYEPATA KAPATA.
Unashangaa Doctor kugombania nyumba, kwani udaktari ni kitu cha ajabu sana. Kwa taarifa yako doctors wanagombania mpaka 'mabaamedi' sembuse kugombea nyumba.Kwa sababu imeshasemwa si dokta wala lolote ni mbabaishaji tu. Ni sawa na Le mutuz akwambie nimesoma huku na huko na kukupa majina ya Colleges za US utaamini??? Huyo Dr. wenu Mwaka ni mbabaishaji na huko India hajasoma lolote kuwadanganya akina mama wa watu. Eti dokta my ass!!!! Hawa ndio akina Musukuma, Babu tale na mkwere na udokta wa michongo. Dokta wa ukweli ana muda kugombania nyumba aliotoa kwa mkewe na ana watoto nae, njaa tu na utapeli.
Unashangaa Doctor kugombania, kwa udaktari ni kitu cha ajabu sana. Kwa taarifa yako doctors wanagombania mpaka 'mabaamedi' sembuse kugombea nyumba.
Mwaka 2013 Dr Ndodi alinipiga 210,000/- dawa ya ugonjwa fulani hivi, lakini baadaye nikaja gundua kumbe ni mchanganyiko wa Kitunguu Swaumu, Abdalasini na Tangawizi 😂😂😂....Dr. Mwaka na Dr Ndodi Tz ukijua kucheza na maneno, unakuwa milionea haraka sana.
Huitaji hata elimu kubwa, mdomo wako tu, jitangaze kwenye radio na Tv. Subiri wajinga waliwawo waje.