Mwenye elimu ya stika hii ya TRA, naomba atueleweshe... mbona bidhaa za Bakhresa Food Products hazina?


Acha ujanja ujanja wa kuhamisha swali,, jibu swali uliloulizwa
 
Stika hizi za kieletroniki zinaashiria kuwa bidhaa hiyo imelipiwa au inalipa kodi ya ushuru wa bidhaa. Kazi kubwa ya stika hizi ni kutambua kama kodi hiyo imelipwa au italipwa
Sema wadau HAPA 👆 Kuna Jibu, inatakiwa ujiongeze mwenyewe..
You Just conclude, Therefore.....

Usitake mtu akutafunie Umeze, halafu yeye akose Ugali wake.
 
Sema wadau HAPA 👆 Kuna Jibu, inatakiwa ujiongeze mwenyewe..
You Just conclude, Therefore.....

Usitake mtu akutafunie Umeze, halafu yeye akose Ugali wake.
Maana yake bidhaa husika za Bakharesa ni fake na hazina uthibitisho zinapaswa kutokuwepo sokoni!
 
Nafikiri hata hivyo swali kalijibu ila hakutaka kujibu moja kwa moja kuwa bidhaa husika zisizo na sticker ni feki na hazikupaswa kuwa sokoni!
 
Umeelewa swali?
 
 
Hii ni kampuni nyingine kiwanda chake kipo Plot No 35, Miembesaba, Kibaha Pwani. Ni wao wameweka stika ya TRA.
 

Attachments

  • 20240105_153613.jpg
    16.6 KB · Views: 4
Stempu za kielektroniki za kodi (ETS) zinabandikwa kwenye bidhaa za sigara, maji, juice, bia, mvinyo, soda, CD na DVD. Hivyo siyo kila bidhaa zinatozwa ni zile tu zilizotajwa kwenye sheria ya ushuru wa bidhaa (Excise Duty Act). Na stempu za kielektroniki zipo za karatasi au alama kama vinavyoonekana kwenye vifuniko vya maji ya chupa.
 
Kwa hiyo mkuu kuhusu swali la mtoa mada hapo juu? Inamaa kuwa hakuna kosa kwa hizo bidhaa hapo juu? Naomba umjibu mkuu hapo juu swali lake
 
Kwa hiyo mkuu kuhusu swali la mtoa mada hapo juu? Inamaa kuwa hakuna kosa kwa hizo bidhaa hapo juu? Naomba umjibu mkuu hapo juu swali lake
Mbona kama tayari majibu yapo ukiangalia juu na jibu hili la bidhaa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…