Mwenye elimu ya stika hii ya TRA, naomba atueleweshe... mbona bidhaa za Bakhresa Food Products hazina?

Mwenye elimu ya stika hii ya TRA, naomba atueleweshe... mbona bidhaa za Bakhresa Food Products hazina?

Asante kwa swali.
Stika hizi za kieletroniki zinaashiria kuwa bidhaa hiyo imelipiwa au inalipa kodi ya ushuru wa bidhaa. Kazi kubwa ya stika hizi ni kutambua kama kodi hiyo imelipwa au italipwa.Na siyo kwa bidhaa zinazozalishwa ndani tu hata zinazotoka nje ya nchi. Mfano sigara au pombe. Ukitaka kutambua kama bidhaa hiyo ipo salama unaweza pakua app kwenye simu janja yako kwa kuchagua hakiki stempu ambapo utatumia kumulika stika hiyo na kupata taarifa kama kinywaji unachotumia ni chenyewe siyo cha kugushi (fake)

Acha ujanja ujanja wa kuhamisha swali,, jibu swali uliloulizwa
 
Stika hizi za kieletroniki zinaashiria kuwa bidhaa hiyo imelipiwa au inalipa kodi ya ushuru wa bidhaa. Kazi kubwa ya stika hizi ni kutambua kama kodi hiyo imelipwa au italipwa
Sema wadau HAPA 👆 Kuna Jibu, inatakiwa ujiongeze mwenyewe..
You Just conclude, Therefore.....

Usitake mtu akutafunie Umeze, halafu yeye akose Ugali wake.
 
Sema wadau HAPA 👆 Kuna Jibu, inatakiwa ujiongeze mwenyewe..
You Just conclude, Therefore.....

Usitake mtu akutafunie Umeze, halafu yeye akose Ugali wake.
Maana yake bidhaa husika za Bakharesa ni fake na hazina uthibitisho zinapaswa kutokuwepo sokoni!
 
Wewe Admin nina uhakika uliingizwa kimagumashi hapo kazini kwako.

Kama wewe ni Social Media Manager tu na wala huna maarifa juu ya matumizi ya Sticker na ulipaji kodi kwa ujumla, ungeomba msaada kutoka kwa Wakuu wako.

Swali uliloulizwa na ulichojibu ni Mbingu na ardhi. Umeulizwa kwa nini bidhaa za kampuni X zina sticker alafu za kampuni Y hazina?

Wewe unajibu fake nye nye nye.

Tunaomba marejeo ya uajiri wako.
Nafikiri hata hivyo swali kalijibu ila hakutaka kujibu moja kwa moja kuwa bidhaa husika zisizo na sticker ni feki na hazikupaswa kuwa sokoni!
 
Asante kwa swali.
Stika hizi za kieletroniki zinaashiria kuwa bidhaa hiyo imelipiwa au inalipa kodi ya ushuru wa bidhaa. Kazi kubwa ya stika hizi ni kutambua kama kodi hiyo imelipwa au italipwa.Na siyo kwa bidhaa zinazozalishwa ndani tu hata zinazotoka nje ya nchi. Mfano sigara au pombe. Ukitaka kutambua kama bidhaa hiyo ipo salama unaweza pakua app kwenye simu janja yako kwa kuchagua hakiki stempu ambapo utatumia kumulika stika hiyo na kupata taarifa kama kinywaji unachotumia ni chenyewe siyo cha kugushi (fake)
Umeelewa swali?
 
Asante kwa swali.
Stika hizi za kieletroniki zinaashiria kuwa bidhaa hiyo imelipiwa au inalipa kodi ya ushuru wa bidhaa. Kazi kubwa ya stika hizi ni kutambua kama kodi hiyo imelipwa au italipwa.Na siyo kwa bidhaa zinazozalishwa ndani tu hata zinazotoka nje ya nchi. Mfano sigara au pombe. Ukitaka kutambua kama bidhaa hiyo ipo salama unaweza pakua app kwenye simu janja yako kwa kuchagua hakiki stempu ambapo utatumia kumulika stika hiyo na kupata taarifa kama kinywaji unachotumia ni chenyewe siyo cha kugushi (fake) mkuu,tunajua huyu ni mlilapa kodi mkubwa! Jikite kwenye swali la msingi fafanua na pambanua wananchi tuelewe vizuri, qcha bla bla hapa!
 
Hii ni kampuni nyingine kiwanda chake kipo Plot No 35, Miembesaba, Kibaha Pwani. Ni wao wameweka stika ya TRA.
20240109_125107.jpg
 
Attachments

  • 20240105_153613.jpg
    20240105_153613.jpg
    16.6 KB · Views: 4
Stempu za kielektroniki za kodi (ETS) zinabandikwa kwenye bidhaa za sigara, maji, juice, bia, mvinyo, soda, CD na DVD. Hivyo siyo kila bidhaa zinatozwa ni zile tu zilizotajwa kwenye sheria ya ushuru wa bidhaa (Excise Duty Act). Na stempu za kielektroniki zipo za karatasi au alama kama vinavyoonekana kwenye vifuniko vya maji ya chupa.
 
Kwa hiyo mkuu kuhusu swali la mtoa mada hapo juu? Inamaa kuwa hakuna kosa kwa hizo bidhaa hapo juu? Naomba umjibu mkuu hapo juu swali lake
 
Kwa hiyo mkuu kuhusu swali la mtoa mada hapo juu? Inamaa kuwa hakuna kosa kwa hizo bidhaa hapo juu? Naomba umjibu mkuu hapo juu swali lake
Mbona kama tayari majibu yapo ukiangalia juu na jibu hili la bidhaa gani?
 
Back
Top Bottom