Mimi ninastream nyimbo kwa kutumia Spotify
Ila sijawahi kudharau watu wanaodownload nyimbo.
JF bhana.... Sasa streaming music na yenyewe ni jambo la kumwambia mtu atafute hela [emoji38][emoji38]
Hata bando la 245MB linastream Spotify fresh tu, mfano wako hauendani na private car, ulikuwa unataka tu kutaja hiyo point ya "Tafuta hela", ndio shida ya wabongo
Ku stream Spotify mtu ameshaanza kujiona tajiri [emoji28][emoji28]
Wewe ndio umepitwa na wakati, 2023 hii watu hawapangiwi cha kufanya. Hujatoa reason ya maana ya kuzuia watu ku download nyimbo zaidi ya kutaja mwaka 2023.