Mwenye kujua Apps nzuri ya music player msaada tafadhal

Wewe ndio umeshatoka huko
Sijaona sababu ya kufanya nisidiwnload nyimbo eti kisa ni 2023
Hata hao wanaolipia Spotify wanataka kupata extra features kama kusikiliza nyimbo offline, nashangaa unasisitiza kwamba ni 2023, kwani 2023 ukitaka kuendana kiteknolojia huruhusiwi ku download nyimbo?
Streaming inakula MB chache sana, sikatai. Lakini si kila mtu anapenda ku stream.

"Come on man, ni 2023 hii, kila mtu ana uhuru wa kuamua kufanya anachokipenda"
Eti "si kila mtu anapenda kustream". Ni sawa na mtu aseme "si kila mtu anapenda private car, wengine tunapenda daladala"[emoji3]

Nani hapendi kustream anyoshe kidole hapa tumuone?
Kwa hiyo unapenda kudownload nyimbo?

Spotify pia unaweza kusikiliza nyimbo Offline. Hata hilo hujui? Wewe hata kustream music hujawahi... hujui hata experience ya music streaming ikoje.

Listen, una download nyimbo kwa sababu either You can't afford Streaming au kwa sababu hujui experience ya streaming.

Tutafute hela wazee tuache hivi visingizio.
 
Wewe hata kustream music hujawahi... hujui hata experience ya music streaming ikoje.

Listen, una download nyimbo kwa sababu either You can't afford Streaming au kwa sababu hujui experience ya streaming.

Tutafute hela wazee tuache hivi visingizio.
Mimi ninastream nyimbo kwa kutumia Spotify
Ila sijawahi kudharau watu wanaodownload nyimbo.
JF bhana.... Sasa streaming music na yenyewe ni jambo la kumwambia mtu atafute hela [emoji38][emoji38]
Hata bando la 245MB linastream Spotify fresh tu, mfano wako hauendani na private car, ulikuwa unataka tu kutaja hiyo point ya "Tafuta hela", ndio shida ya wabongo

Ku stream Spotify mtu ameshaanza kujiona tajiri [emoji28][emoji28]

Wewe ndio umepitwa na wakati, 2023 hii watu hawapangiwi cha kufanya. Hujatoa reason ya maana ya kuzuia watu ku download nyimbo zaidi ya kutaja mwaka 2023.
 
Wewe hutumii Spotify, acha kudanganya watu.

Hapo juu umesema mtu hawezi kuplay nyimbo Offline kwa Spotify. Which ni Uongo.

Ungekuwa unatumia Spotify ungeshajua kuwa mtu anaweza kuplay music Offline.

Acha kufake, be real.
 
Natumia Spotify na sijawahi kusikiliza music offline na ni mara chache ndio naitumia na haili MB nyingi
Umesema "Tafuta hela" ndio kitu ninachopinga, nikiwa na 200MB nasikiliza mziki hadi nachoka

Umeshindwa kutoa point ya msingi kwa nini watu wasidownload nyimbo zaidi unasema Tafuta hela, mara hii ni 2023[emoji23][emoji23]
Bullshit!
Nyinyi ndio mnaitwa Internet trolls
Screenshot_2023-07-22-10-09-35-192_com.spotify.music.jpg
 
Mimi ninastream nyimbo kwa kutumia Spotify
Ila sijawahi kudharau watu wanaodownload nyimbo.
JF bhana.... Sasa streaming music na yenyewe ni jambo la kumwambia mtu atafute hela [emoji38][emoji38]
Hata bando la 245MB linastream Spotify fresh tu, mfano wako hauendani na private car, ulikuwa unataka tu kutaja hiyo point ya "Tafuta hela", ndio shida ya wabongo

Ku stream Spotify mtu ameshaanza kujiona tajiri [emoji28][emoji28]

Wewe ndio umepitwa na wakati, 2023 hii watu hawapangiwi cha kufanya. Hujatoa reason ya maana ya kuzuia watu ku download nyimbo zaidi ya kutaja mwaka 2023.
Huyo jamaa kanichekesha [emoji1][emoji1]Ata vitoto vya sekondari vinatumia Spotify ila ye anajiona tajiri
 
Natumia Spotify na sijawahi kusikiliza music offline na ni mara chache ndio naitumia na haili MB nyingi
Umesema "Tafuta hela" ndio kitu ninachopinga, nikiwa na 200MB nasikiliza mziki hadi nachoka

Umeshindwa kutoa point ya msingi kwa nini watu wasidownload nyimbo zaidi unasema Tafuta hela, mara hii ni 2023[emoji23][emoji23]
Bullshit!
Nyinyi ndio mnaitwa Internet trollsView attachment 2695888
Mkuu huyo achana naye
Twende kule kwenye uzi wetu kuna swali nataka nikuulize [emoji16][emoji16]
 
Natumia Spotify na sijawahi kusikiliza music offline na ni mara chache ndio naitumia na haili MB nyingi
Umesema "Tafuta hela" ndio kitu ninachopinga, nikiwa na 200MB nasikiliza mziki hadi nachoka

Umeshindwa kutoa point ya msingi kwa nini watu wasidownload nyimbo zaidi unasema Tafuta hela, mara hii ni 2023[emoji23][emoji23]
Bullshit!
Nyinyi ndio mnaitwa Internet trollsView attachment 2695888
Why are you trying to prove yourself to me? Hiyo screenshot hata Google inapatikana. Chill man!

Back to the topic:
Ndio nakutoa ushamba hapa kuwa hata Spotify mtu anaweza kuplay nyimbo Offline.
 
Huyo jamaa kanichekesha [emoji1][emoji1]Ata vitoto vya sekondari vinatumia Spotify ila ye anajiona tajiri
Mbona unajistukia?

Sasa mpaka Vitoto vya sekondari vinatumia Spotify (kwa maneno yako) ila wewe bado unadownload!!!
 
Why are you trying to prove yourself to me? Hiyo screenshot hata Google inapatikana. Chill man!

Back to the topic:
Ndio nakutoa ushamba hapa kuwa hata Spotify mtu anaweza kuplay nyimbo Offline.
Hujanitoa ushamba, mimi music nasikiliza ila sio sana na sio mara zote huwa nakesha huko Spotify so bado maelezo yako hayatoshi kutetea swali unalokimbia [emoji23][emoji23][emoji23]
"Kwa nini watu wasidownload nyimbo mwaka 2023" Naona unazunguka tu
Screenshot_2023-07-22-10-24-46-512_com.miui.home.jpg
 
Hujanitoa ushamba, mimi music nasikiliza ila sio sana na sio mara zote huwa nakesha huko Spotify so bado maelezo yako hayatoshi kutetea swali unalokimbia [emoji23][emoji23][emoji23]
"Kwa nini watu wasidownload nyimbo mwaka 2023" Naona unazunguka tuView attachment 2695897
Mkuu usijihangaishe nae huyo, twende kule kwanza kuna swali nimekuuliza
 
Natumia Spotify na sijawahi kusikiliza music offline na ni mara chache ndio naitumia na haili MB nyingi
Umesema "Tafuta hela" ndio kitu ninachopinga, nikiwa na 200MB nasikiliza mziki hadi nachoka

Umeshindwa kutoa point ya msingi kwa nini watu wasidownload nyimbo zaidi unasema Tafuta hela, mara hii ni 2023[emoji23][emoji23]
Bullshit!
Nyinyi ndio mnaitwa Internet trollsView attachment 2695888
[emoji1][emoji1]
 
Mimi nshatumia app nyingi sana,ila mwisho wa siku kuna features huwa nazingatia..app isipokuwa na cross-fade basi ishanishinda.

Best option hapo tumia Jetaudio+ (hii unaweza pata crack yake),kama unatumia Samsung wana Samsung Music iko poa.

Vile vile unaweza tumia Spotify,ukilipia inakuwa haina matangazo,unaweza download playlist ukazisikiliza offline,unatengeneza playlist zako mwenyewe na unaweza ziweka public watu wengine wakaplay, unaweza tumia acc kwenye device zaidi ya moja(mimi natumia kwenye pc 2,smart tv na simu),unaweza tumia simu kama remote ukaplay kwenye pc au tv. Au ukacontrol tv toka kwenye pc au pc moja mpka nyingine.kuna group sessions unaplay nyimbo na watu watakaojoin watasikiliza.Kingine wana algorithm nzuri sana,miziki itakuja kulingana na preference zako,kifupi kuna kila aina ya muziki,mimi na uroho wangu wa muziki huku nimenyoosha mikono.

Kama utashindwa kulipia, unaweza download crack ya premium,hapa utastream miziki ila huwez download, advantage utakayopata hutasikia matangazo.
 
Eti "si kila mtu anapenda kustream". Ni sawa na mtu aseme "si kila mtu anapenda private car, wengine tunapenda daladala"[emoji3]

Nani hapendi kustream anyoshe kidole hapa tumuone?
Kwa hiyo unapenda kudownload nyimbo?

Spotify pia unaweza kusikiliza nyimbo Offline. Hata hilo hujui? Wewe hata kustream music hujawahi... hujui hata experience ya music streaming ikoje.

Listen, una download nyimbo kwa sababu either You can't afford Streaming au kwa sababu hujui experience ya streaming.

Tutafute hela wazee tuache hivi visingizio.
Unachokipenda wewe si lazima nikipende mimi

Usilazimishe kila mtu awe na mtazamo kama wa kwako mkuu
 
Back
Top Bottom