Safi kabisa... hapa umenileta uwanja wa nyumbani: Here we go [emoji116]
Sababu ni kwa nini Streaming is a way to go in 2023.
- Music on the go:- wimbo wowote unaoufikiria akilini unausikiliza in just one click away, in a matter of seconds.. in all your devices.
- Unlimited Music:- Streaming ni HUGE music library ambayo Unapata Almost All the music in the world, in one place at any time. Narudia tena, ALMOST ANY MUSIC you can think of.
- Music discovery:- Inakupa Njia ya Kudiscover New Music kutokana na algorithms zake zinazosoma behaviour yako ya unachopendelea kusikiliza and hence zinakupa nyimbo usizozijua lakini utakazozipenda.
- Quality:- Nyimbo za kudownload zipo kwenye mp3 format ambayo ni compressed format, ina loose audio quality.
Streaming kwenye services kama Tidal,Apple Music and Quobuzz inakupa Hi-Res Music, which is best in quality.
- Nyimbo zako ambazo ziko kwenye playlist yako unazipata kwenye devices zako popote pale bila kuhitaji kuhamisha. Nyimbo ulizoziacha Dsm kwenye laptop yako unazipata ukiwa Musoma kwenye device nyingine. Unakuwa nazo popote pale duniani, whenever you demand them.
Mambo ya kudownload hayakupi hizi experiences nilizozisema hapo juu.