Mwenye kujua Apps nzuri ya music player msaada tafadhal

Humu ndani ukiwa siriaz kuwasikiliza hawa wanaojifanya wapo updated na dunia ya sahizi ,unaweza kujiona fala.Ila nakuhakikishia,hawa bado wana-download nyimbo kama kawaida na tunashinda nao vibaruani kupokea buku 7-10 kwa siku.Zilaaniwe anonymous IDs
 
Wahuni wanajipakulia minyama tu stream hivi mara stream vile maneno kibao. Wote tunadownload tu

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Binafsi sioni maana kustrim kwene hizo platfomz akati youtube nnashusha playlist nzima kwa vidmet amayo nitakua nnaimiliki nnaweza kuitransfa to each of my devices, no bando any more is needed, no boaring adds and mostly no addition costs. Huwezi sema unapenda music while you don even own your libraly. Kusikilizia muziki kwene hizo plattfoms ni kama tu kusikiliza muziki redioni. Ingawa kwa wale wasio na ujuzi wa downloading hii ndio inawasaidia
 
Speaking of owning music... even Downloading isn't owning music. Kwa sababu you don't HOLD that music in your hands na inaweza kuwa corrupted any time.

Kama unataka ku-own music unakuwa na Vinly collection. (Google it). Ulimwengu ndio upo hapo kwa sasa ila kwa bongo bado sanaaaaaaaa.

Ndio maana watu wanaotaka ku-own Music kwa wakati huu wanatumia Vinly. Wananunua Turntable, wana own Vinly collection na wanaplay Physical Media kwa staili hiyo.

Hiyo ndio OWNING MUSIC in 2023
 
Humu ndani ukiwa siriaz kuwasikiliza hawa wanaojifanya wapo updated na dunia ya sahizi ,unaweza kujiona fala.Ila nakuhakikishia,hawa bado wana-download nyimbo kama kawaida na tunashinda nao vibaruani kupokea buku 7-10 kwa siku.Zilaaniwe anonymous IDs
Ni vizuri kujipa moyo mkuu... Ila ukweli uko palepale... Ulimwengu ulishatoka huko kwenye kudownload na kuplay nyimbo kwenye flash. Ni kama pia na tulivyoshatoka kwenye kuburn CD na vitu kama hivyo.

Take it or leave it.
 
Mm binafsi natumia Spotify kusikiliza miziki nk lakini kuna baadhi ya miziki haipo spotify hadi udownload. mfano old bongo Flavour View attachment 2695264
Screenshot_2023-06-19-23-26-41-961-edit_com.spotify.music.jpg
 
Habar za usiku wananzengo!!

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza

Kwayeyote mwenye kujua apps nzuri ya music player kwenye simu naomba anitajie tafadhali ili ni download niweze kuskiliza good music na mimi kwenye kijitambo changu
Tumia poweramp ndio player bora kushinda hizo zote. Na kama unatumia Spotify na unataka kusikiliza mziki kama wa poweramp download poweramp equalizer.utanishukuru[emoji119][emoji3]
Screenshot_2023-06-22-22-31-26-286_com.maxmpz.audioplayer.jpg
 
Tupate burudani kidogo [emoji4][emoji851]

Hiki kipande nakipenda......

Bora ni Enjoy (Mmmmmh)
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho
Jiunge nami upoze koo
Bora ni Enjoy
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho (Ooh yanini yanini)
Jiunge nami upoze koo (Mmmh khoo khoo khoo khoo)

Kama kupendaaa
Bora nimpende mama yangu (Mmmh)
Kama kupendwaa mimi iih
Nitajipenda peke yangu (Ooooh)
Kilichoniponza ufala
Kujiona simba kumbe swala
Nikazama kwenye penzi uchwala
Badala ya kusaka miamala
Aiii yooooooo oh
Toka ni date pesa (Enhee)
Sa napendeza (Enhee)
Na tena naenjoy (Enhee)
Na wanangu ma homeboy (Enhee)
Ooooh account inasoma (Enhee)
Na kamwili kananona (Enhee)
We mwenyewe si unaona yani (Enhee)
Ai nasema boraaaa
Nalikubari sana hilo song lina vibe hatari.....
 
Humu ndani ukiwa siriaz kuwasikiliza hawa wanaojifanya wapo updated na dunia ya sahizi ,unaweza kujiona fala.Ila nakuhakikishia,hawa bado wana-download nyimbo kama kawaida na tunashinda nao vibaruani kupokea buku 7-10 kwa siku.Zilaaniwe anonymous IDs
Comeooon..

Spotify kulipia ni elfu saba tu za Kitanzania kwa mwezi..

Hii hapa chini ni nini sasa kama sio spotify?..acha uzumbukuku

Tupo 2023..
Screenshot_20230721-231748_Spotify.jpg
 
Binafsi sioni maana kustrim kwene hizo platfomz akati youtube nnashusha playlist nzima kwa vidmet amayo nitakua nnaimiliki nnaweza kuitransfa to each of my devices, no bando any more is needed, no boaring adds and mostly no addition costs. Huwezi sema unapenda music while you don even own your libraly. Kusikilizia muziki kwene hizo plattfoms ni kama tu kusikiliza muziki redioni. Ingawa kwa wale wasio na ujuzi wa downloading hii ndio inawasaidia
Aliyekuambia kwenye hizo platform huwezi kuwa na library ni nani?

Baadhi ya wabongo ni wajuaji sana wakati hamna wanalolijua kuhusu jambo hilo wanalojifanya wanalijua vizuri.
 
Tushatoka huko kwenye kudownload nyimbo.

Hivi mbona watu mnakuwa wagumu kuelewa hilo?
This is 2023 jamani.
Wewe ndio umeshatoka huko
Sijaona sababu ya kufanya nisidiwnload nyimbo eti kisa ni 2023
Hata hao wanaolipia Spotify wanataka kupata extra features kama kusikiliza nyimbo offline, nashangaa unasisitiza kwamba ni 2023, kwani 2023 ukitaka kuendana kiteknolojia huruhusiwi ku download nyimbo?
Streaming inakula MB chache sana, sikatai. Lakini si kila mtu anapenda ku stream.

"Come on man, ni 2023 hii, kila mtu ana uhuru wa kuamua kufanya anachokipenda"
 
Nataka Ku install program za Ku download music kwenye laptop nifanyaje wadau?
 
Poweramp ndio mwisho wa yote, ina equalizer nzuri sana na mambo mengine,

Natumia kwa zaidi ya miaka 7 sasa
 
Hutumii mbs wakati unastream?Nielekeze Mzee mana hadi Mimi Bado na download nyimbo
Wewe kama uwezo wako ni kudownload fanya hivyo, jf isikuingize mambo usiyoweza kuyamudu.

Kula mb zako 3, chukua ngoma sikiliza miaka yote.

Au hao jamaa wanaoshangaa kua mpaka 2023 kuna watu wanadownload nyimbo wanakupa kimuhemuhe??
 
Back
Top Bottom