Mwenye kujua Apps nzuri ya music player msaada tafadhal

Humu ndani ukiwa siriaz kuwasikiliza hawa wanaojifanya wapo updated na dunia ya sahizi ,unaweza kujiona fala.Ila nakuhakikishia,hawa bado wana-download nyimbo kama kawaida na tunashinda nao vibaruani kupokea buku 7-10 kwa siku.Zilaaniwe anonymous IDs
Waseng.e sana hawa hahahaha
 
Huyu ni mpumbavu
 
Hapa nakazia best player ever
1.unacheck movie inakupa option ya kudownload subtitute
2. Unaweza play video ukaidisplay kwa juu ukatoka kwenye app video inajipin kwenye screen unaendelea kutumia simu kwenye mambo mengine
3.Video unaweza iweka kwenye audio form
4. Selection play
5. Start from end
6. Plya list creation
7. Customized sound equalizer
8.background play
Yaaani iko na tuvitu mingi sana
 
Vlc n Kali Miaka nenda rud haichuj
 

Ku save for offline listening ndio kudowload kwenyewe mkuu.

Tofauti kubwa ya kustream na kudownload ni kwamba uki stream msanii anapata chochote ukidownload hapati kitu. Napia ukitumia streaming kusave huna uhuru wa kuhamisha nyimbo zako zaidi ya kutumia app husika wakati ukidownload unaplay hadi kweny kitochi [emoji23] na kuzihamisha popote

Binafsi natumia zaidi nyimbo za kudownload kuliko streaming kwasababu zifuatazo

Nyimbo nyingi za bongo Fleva za zamani na hata za sasa kama gospel songs za kibongo hazipo kwenye hizo platforms
Ama utaikuta huku na kule haipo

Nina safiri sana na music ndio chakula changu njiani
Sipendi kutumia smartphone kwasababu ya changamoto ya kukaa na chaji hivyo nina kiswaswadu changu nimekipachika sd card nimejaza playlists zangu za kudownload na vaa na wired earphones nakula music mwanzo mwisho

WaTz wengi ni wavivu kulipia bill in time yaani Luku, bando, king’amuzi, dawasa nk mpaka vizimwe ndio mchakato wa kulipia uanze..... bado na kusikiliza music?
 
Sawa
 
Mi na download nyimbo naskizia kwenye vlc au xender kwisha
 
Mjuaji kakutana na mwalimu mkuu
 
Mkuu ulipata Audio Player...?
Kama bado, kuna sehemu nimeiona ni maeneo ya Tandale.

Joke.....it's Just a joke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…