Mwenye kujua kwanini rais Samia hataki kuzifuata nyayo za Ml. Nyerere na rais Mwinyi atufafanulie.

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
24,523
Reaction score
30,084
Barabara ya kurukia ndege haina konakona, Rais amesema atafuata nyayo za Rais Mkapa, Kikwete na Magufuli, sasa kwanini hataki kufuata nyayo za watangulizi wa mwanzo yaani Ml. Nyerere na A.H. Mwinyi!
 
Hapo nyayo zinazofuatwa ni za mtu mmoja tu. Jay Kay Records. Na sababu zinajulikana.
 
Alisema atafuata nyayo za Kikwete, Mkapa na Magufuli.
 
Rais samuya jana kakosea kutaja jina lake mara 3 ...kasema kila sehem SEMIA watu wa ulimwengu wa roho hii ni ALERT..
 
Huo ndio uwezo wake ulipogota, mnachekesha sana mnapotaka mwanafunzi kilaza agonge hata C tu
 
Rais samuya jana kakosea kutaja jina lake mara 3 ...kasema kila sehem SEMIA watu wa ulimwengu wa roho hii ni ALERT..
Unataka kumaanisha kwamba mama anataka kujivua gamba nn? maana hajioni kuwa Samia, au anahisi Samia limechafuka ameamua kuli-Pimp kama JK alivyoamua kumtambua kama Samuya.

Ulimwengu wa kiroho unaniambia kuwa haipo hivyo boss, mama anaremba sana mwandiko, hiyo amejiita ki-swagger tu, si unajua tena ma-Men, Semia sounds best ma-men...! Yuh know what it is, men...
 
4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU (The Ultimatum)

Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:

Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.

Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.

Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.

Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.

MWISHO WA UBAYA NI AIBU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…