Mwenye kujua mbegu bora ya hoho yenye matokeo mazuri dhidi ya tatizo la kinyaushi

Mwenye kujua mbegu bora ya hoho yenye matokeo mazuri dhidi ya tatizo la kinyaushi

Satisfy

Senior Member
Joined
Jun 25, 2022
Posts
147
Reaction score
237
Wakuu habari.

Naombeni msaada anayeijua mbegu bora ya hoho inayoweza kabiliana na tatizo la kinyaushi.

Aise ili tatizo limekuwa changamoto sana kwa baadhi ya mazao ya mbogamboga.

Ikiwezekana taja jina la mbegu na bei yake kulingana na gram

Nitashukru sana nikipata huo msaada
 
Back
Top Bottom