Mwenye kujua wasanii wangapi mama amekwenda nao China naomba anijuze.

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
21,741
Reaction score
26,735
Mama alisema kila ziara zake atasafiri na wasanii na tayari alikwisha enda nao India na Korea, hivi sasa mama yuko China.
Ninaomba mwenye majina ya wasanii aliosafiri nao kwenda China anijuze, kwani ni jambo la muhimu sana kwenye ustawi wa sanaa Tanzania.
 
Mimi mama yangu yupo nyumbani huyo mama aliyeenda China ni mama wa nani?
 
Mama alisema kila ziara zake atasafiri na wasanii na tayari alikwisha enda nao India na Korea, hivi sasa mama yuko China.
Ninaomba mwenye majina ya wasanii aliosafiri nao kwenda China anijuze, kwani ni jambo la muhimu sana kwenye ustawi wa sanaa Tanzania.
china hakuenda na wasanii,msimgeuzevmama hamnazo,hufanya vitu kwa utafiti
 
Mama alisema kila ziara zake atasafiri na wasanii na tayari alikwisha enda nao India na Korea, hivi sasa mama yuko China.
Ninaomba mwenye majina ya wasanii aliosafiri nao kwenda China anijuze, kwani ni jambo la muhimu sana kwenye ustawi wa sanaa Tanzania.
Serikali ina kapu lake la maembe ooops la wasanii ambalo wanawapa zamu ya kusafiri na Hangaya kwa kupeana nafasi.

Wasanii wenyewe sasa. Bila kashfa hawauzi hata single zao
 
Back
Top Bottom