Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 3,506
- 2,606
Hajambeba kweli Doto Magari?Mama alisema kila ziara zake atasafiri na wasanii na tayari alikwisha enda nao India na Korea, hivi sasa mama yuko China.
Ninaomba mwenye majina ya wasanii aliosafiri nao kwenda China anijuze, kwani ni jambo la muhimu sana kwenye ustawi wa sanaa Tanzania.