Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Mimi mama yangu yupo nyumbani huyo mama aliyeenda China ni mama wa nani?Mama alisema kila ziara zake atasafiri na wasanii na tayari alikwisha enda nao India na Korea, hivi sasa mama yuko China.
Ninaomba mwenye majina ya wasanii aliosafiri nao kwenda China anijuze, kwani ni jambo la muhimu sana kwenye ustawi wa sanaa Tanzania.
Mama wa magoli.Mimi mama yangu yupo nyumbani huyo mama aliyeenda China ni mama wa nani?
🤣🤣Mama wa magoli.
Wataipaisha Kawetere kwenye utalii.Bunji na Mwamposa
Mama HurumaMimi mama yangu yupo nyumbani huyo mama aliyeenda China ni mama wa nani?
Utalii wa msitu wa miti ya mbao?😅Wataipaisha Kawetere kwenye utalii.
Ndege wafananao ndio huruka pamoja.Upumbavu mtupu wenzake wanakwenda na wafanyabiashara yeye anakwenda na washenzi wasiokuwa na maono yoyote
china hakuenda na wasanii,msimgeuzevmama hamnazo,hufanya vitu kwa utafitiMama alisema kila ziara zake atasafiri na wasanii na tayari alikwisha enda nao India na Korea, hivi sasa mama yuko China.
Ninaomba mwenye majina ya wasanii aliosafiri nao kwenda China anijuze, kwani ni jambo la muhimu sana kwenye ustawi wa sanaa Tanzania.
Hilo wala hana haja ya kugeuzwa, ameweza lifanya kwa jitihada zake mwenyewe.msimgeuzevmama hamnazo
Serikali ina kapu lake la maembe ooops la wasanii ambalo wanawapa zamu ya kusafiri na Hangaya kwa kupeana nafasi.Mama alisema kila ziara zake atasafiri na wasanii na tayari alikwisha enda nao India na Korea, hivi sasa mama yuko China.
Ninaomba mwenye majina ya wasanii aliosafiri nao kwenda China anijuze, kwani ni jambo la muhimu sana kwenye ustawi wa sanaa Tanzania.