Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 3,506
- 2,606
Hajambeba kweli Doto Magari?Mama alisema kila ziara zake atasafiri na wasanii na tayari alikwisha enda nao India na Korea, hivi sasa mama yuko China.
Ninaomba mwenye majina ya wasanii aliosafiri nao kwenda China anijuze, kwani ni jambo la muhimu sana kwenye ustawi wa sanaa Tanzania.
Mama wa DullaboyMimi mama yangu yupo nyumbani huyo mama aliyeenda China ni mama wa nani?
Chawa wale wale atakuwa amewabebaMama alisema kila ziara zake atasafiri na wasanii na tayari alikwisha enda nao India na Korea, hivi sasa mama yuko China.
Ninaomba mwenye majina ya wasanii aliosafiri nao kwenda China anijuze, kwani ni jambo la muhimu sana kwenye ustawi wa sanaa Tanzania.
Sahivi ndiyo mtu wake wa karibu snHajambeba kweli Doto Magari?
Mimi mama yangu yupo nyumbani huyo mama aliyeenda China ni mama wa nani?
Mama wa embe dodo.Mama Huruma
Mzee Mbatia ama?Mama Tanzania eti.
🤣🤣 anamuhurumia nani?Mama Huruma