igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,597
- 3,373
Hii naikumbuka, enzi za unga wa Yanga kutoka Marekani...Binafsi sitasahai njaa ya 1984! Ilikuwa kiboko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii naikumbuka, enzi za unga wa Yanga kutoka Marekani...Binafsi sitasahai njaa ya 1984! Ilikuwa kiboko.
Taarifa yako siyo kweli kabisa. Operation vijiji ilikuwa mwaka 1973 na wala haikuwa sababu kubwa ya njaa ya mwaka 1974 kwani watanzania wakati huo tulikuwa tunalima, kuvuna na kula mwaka huo huo, yaani hatukuwa na utamaduni wa kutunza chakula. Wakati wa operation vijiji, bado watu walilima na hawakuwa na njaa. Mwaka 1974 kulikuwa na ukame wa kutisha sana, mpaka hata mifugo ilikuwa inakufa kwa njaa. Njaa hiyo haikuikumba Tanzania tu, bali karibu Afrika yote ikiwemo Kenya na ethiopia ambao hawakua na Operation vijiji. Ni wakati huo ndipo Tanzania ikaanzisha National Milling ilin wawe wanatunza mazao kwa ajili ya matumizi ya baadaye, na vile vile ndipo ikaja Siasa ni Kilimo kuhimiza matumizi mazuri ya ardhi kwa kilimo.Huyo mzee atakua mfuasi wa CCM , anaongea bila data.
1974 kulikua na njaa, njaa ile haikusababishwa na ukosefu wa mvua Kama watu wa TANU walivyo waaminisha wananchi kipindi kile.
1973 kulikua na zoezi liitwalo operation vijiji. Watu walilazimishwa na serikali ya TANU kuhama makazi Yao ya asili na kwenda kurundikana kwenye vijiji vya ujamaa.
Mwaka ule watu wengi hawakujihusisha na kilimo kwasababu walikua wanajenga nyumba kwenye makazi mapya (vijiiji vya ujamaa)
Mtakumbuka 1974 kulikua na kipindupindu kikali mmno kilichosababishwa na mrundikano wa watu na ku share maji, ambayo yalikua adimu.
Sio kweli mkuuMagufuli kaondoka na mvua
Hapana na mzee ambae ayuko katika siasa za chama chochote tanzaniaHuyo mzee atakua mfuasi wa CCM , anaongea bila data.
1974 kulikua na njaa, njaa ile haikusababishwa na ukosefu wa mvua Kama watu wa TANU walivyo waaminisha wananchi kipindi kile.
1973 kulikua na zoezi liitwalo operation vijiji. Watu walilazimishwa na serikali ya TANU kuhama makazi Yao ya asili na kwenda kurundikana kwenye vijiji vya ujamaa.
Mwaka ule watu wengi hawakujihusisha na kilimo kwasababu walikua wanajenga nyumba kwenye makazi mapya (vijiiji vya ujamaa)
Mtakumbuka 1974 kulikua na kipindupindu kikali mmno kilichosababishwa na mrundikano wa watu na ku share maji, ambayo yalikua adimu.
Tunakukalibisha kwa mrejesho utakao upata mkuuInawezekana ngoja nitauliza wadau hii ishu asante mkuu kwa huu uzi.
Ni furaha sana mzee wetu akijitokeza na kufafanua jambo hili naamini yeye ndo mkongwe wa historia karibu mzee wangu Mohamed saidMzee Said tafadhali kwa hishma na taadhima kama una lolote la kutwambia kama mwanahistoria Nguli namaanisha Mzee Mohamed Said mwandishi popote ulipo tafadhali[emoji122]
Fafanua kwa kwa upana mkuuPunguza ubishi na mahaba yako alichosema ndiyo ukweli, watu walihamishwa kwenye mashamba yao ya muda mrefu na kupelekwa kuanza upya...
Unga toka Marekani au Urusi?Hii naikumbuka, enzi za unga wa Yanga kutoka Marekani...
Asante kwa hii mkuuTaarifa yako siyo kweli kabisa. Operation vijiji ilikuwa mwaka 1973 na wala haikuwa sababu kubwa ya njaa ya mwaka 1974 kwani watanzania wakati huo tulikuwa tunalima, kuvuna na kula mwaka huo huo, yaani hatukuwa na utamaduni wa kutunza chakula. Wakati wa operation vijiji, bado watu walilima na hawakuwa na njaa. Mwaka 1974 kulikuwa na ukame wa kutisha sana, mpaka hata mifugo ilikuwa inakufa kwa njaa. Njaa hiyo haikuikumba Tanzania tu, bali karibu Afrika yote ikiwemo Kenya na ethiopia ambao hawakua na Operation vijiji. Ni wakati huo ndipo Tanzania ikaanzisha National Milling ilin wawe wanatunza mazao kwa ajili ya matumizi ya baadaye, na vile vile ndipo ikaja Siasa ni Kilimo kuhimiza matumizi mazuri ya ardhi kwa kilimo.
View attachment 2143758
View attachment 2143764
Hii ni Article ya April 1974 ikionyesha kuwa Kenya, Ethiopia na Sudan njaa ilikuwa kali.
Leo katika pita pita zangu nimekutana na mzee wa makamo nikajaribu kumshilikisha mipago yangu ya kilimo pamoja na utunzaji wa mazao pindi yatakapo panda bei niweze kupata faida.
Mzee ameanza kunipa historia ya kuanzia miaka ya 1974 na kunieleza ya kuwa na uzoefu wa hio biashara kwa mda mrefu.
Amenieleza kuwa miaka inayoishia na nne yani 1974,1984,1994, 2004, 2014 hua aina mvua kabisa ndo maana mazao ya chakula mfano mahindi huwa yanapanda sana bei kutokana na ukame.
Amenishauri kama nataka kuingia kwenye mfumo wa hiyo biashara nisubiri mpaka mwakani yani 2023 ndo ninunue mazao ya kutosha ili mwaka 2024 niweze kupata faida.
Je, niliyoelezwa ni ya kweli au mzee anataka kunichomesha kwa yeyote mwenye uzoefu wa haya mambo anaweza kunisaidia 🙏
Tanzania haijatajwa hapo. Na hizo nchi huathirika sana na ukame.Taarifa yako siyo kweli kabisa. Operation vijiji ilikuwa mwaka 1973 na wala haikuwa sababu kubwa ya njaa ya mwaka 1974 kwani watanzania wakati huo tulikuwa tunalima, kuvuna na kula mwaka huo huo, yaani hatukuwa na utamaduni wa kutunza chakula. Wakati wa operation vijiji, bado watu walilima na hawakuwa na njaa. Mwaka 1974 kulikuwa na ukame wa kutisha sana, mpaka hata mifugo ilikuwa inakufa kwa njaa. Njaa hiyo haikuikumba Tanzania tu, bali karibu Afrika yote ikiwemo Kenya na ethiopia ambao hawakua na Operation vijiji. Ni wakati huo ndipo Tanzania ikaanzisha National Milling ilin wawe wanatunza mazao kwa ajili ya matumizi ya baadaye, na vile vile ndipo ikaja Siasa ni Kilimo kuhimiza matumizi mazuri ya ardhi kwa kilimo.
View attachment 2143758
View attachment 2143764
Hii ni Article ya April 1974 ikionyesha kuwa Kenya, Ethiopia na Sudan njaa ilikuwa kali.
Ulikua drs la ngapi mkuuIla mwaka 1974 kulikuwa na njaa nakumbuka tulikula "yellow corn" ya kutoka USA mashuleni
Tutabishana hapa mpaka kuche. Since wewe ni mtu mzima mwenzangu.Taarifa yako siyo kweli kabisa. Operation vijiji ilikuwa mwaka 1973 na wala haikuwa sababu kubwa ya njaa ya mwaka 1974 kwani watanzania wakati huo tulikuwa tunalima, kuvuna na kula mwaka huo huo, yaani hatukuwa na utamaduni wa kutunza chakula. Wakati wa operation vijiji, bado watu walilima na hawakuwa na njaa. Mwaka 1974 kulikuwa na ukame wa kutisha sana, mpaka hata mifugo ilikuwa inakufa kwa njaa. Njaa hiyo haikuikumba Tanzania tu, bali karibu Afrika yote ikiwemo Kenya na ethiopia ambao hawakua na Operation vijiji. Ni wakati huo ndipo Tanzania ikaanzisha National Milling ilin wawe wanatunza mazao kwa ajili ya matumizi ya baadaye, na vile vile ndipo ikaja Siasa ni Kilimo kuhimiza matumizi mazuri ya ardhi kwa kilimo.
View attachment 2143758
View attachment 2143764
Hii ni Article ya April 1974 ikionyesha kuwa Kenya, Ethiopia na Sudan njaa ilikuwa kali.
Mkuu mpaka sasa umeshawekeza ekari ngapi za kilimo cha umwagiliaji kwenye hio mito?Siku zote imani huja kwa kusikia. Na maisha ya mwanadamu hutawaliwa zaidi na hisia ambazo huweza kuwa kweli au si kweli.
Binafsi sijawahi kushuhudia hizo tofauti hata kwa miaka ya hivi karibuni. Kwahiyo naona kama imekaa kiimani zaidi kuliko kitaalamu.
Hata hivyo, nadhani umefika wakati sasa tuache kutegemea mvua, badala yake zifanyike jitihada za kuendeleza kilimo cha umwagiliaji. Tz imebarikiwa mito, maziwa na vyanzo vingine vya maji. Ni kuamua tu kuwekeza.
Weye toa tu ushahidi.Halafu mwisho unadanganya kuna mtu alijusimulia na utuulize kama ni kweli.Wengine tunaogopa kutoa ushuhuda. Hatutaki tujulikane kuwa ni wahenga.
Tanzania haijatajwa kwa sababu njaa yetu haikuwa kali kama yao, ndiyo maana namshangaa aliyesema tanzania ilikuwa na njaa sana kwa sababu ya operesheni vijiji. Ingawa kuna baadhi ya mikoa Tanzania ilikuwa na njaa sana hasa mikoa ya kati na mikoa ya kaskazini, lakini kulikuwa na mikoa ambayo haikuwa na njaa kabisa. Tulikuza tatizo la njaa kwa vile wengi hawakutambua vitu kama viazi na mihopo kuwa chakula. Kwa hiyo njaa ilitangazwa kwa kukosekana kwa Mahindi, Mchele na Ngano. Lakini bado sehemu kubwa ya nchi ilikuwa na vyakula kama mihogo na viazi.Tanzania haijatajwa hapo. Na hizo nchi huathirika sana na ukame.
Mbona inanyesha! Na watu wanakula mahindi tu huku kwetu!Magufuli kaondoka na mvua
Ukame ulikuwepo sana tu 1973/74. Haukuwa Tanzania peke yake. Njaa ilipiga mpaka nchi jirani. Zoezi la ujamaa villagisation lilianza kipindi hicho cha 1973. Zoezi hili halikuwafurahisha mabeberu ambao hawakutaka Tanzania iwe kitovu cha ujamaa. Wakatumia njaa iliyotokana na ukame kama fursa ya kuonesha kuwa ujamaa haufai. Kwenye media zao na maandiko yao wakasema Njaa hiyo ilitokana na sera za ujamaa hususan, zoezi la villagisation. Bahati mbaya walioamini stori za mabeberu ni wengi sana.Huyo mzee atakua mfuasi wa CCM , anaongea bila data.
1974 kulikua na njaa, njaa ile haikusababishwa na ukosefu wa mvua Kama watu wa TANU walivyo waaminisha wananchi kipindi kile.
1973 kulikua na zoezi liitwalo operation vijiji. Watu walilazimishwa na serikali ya TANU kuhama makazi Yao ya asili na kwenda kurundikana kwenye vijiji vya ujamaa.
Mwaka ule watu wengi hawakujihusisha na kilimo kwasababu walikua wanajenga nyumba kwenye makazi mapya (vijiiji vya ujamaa)
Mtakumbuka 1974 kulikua na kipindupindu kikali mmno kilichosababishwa na mrundikano wa watu na ku share maji, ambayo yalikua adimu.