Mwenye Kumbukumbu ya miaka 1974 ya ukame na uhaba wa mazao

Achilia mbali hizo nne nne hata mwaka 98 au 99 kama sijakosea nakumbuka mkoani Kilimanjaro ilipiga mvua kubwa sana wakaiita elnino basi mazao mengi yaliharibika sana. Mahindi yaliyobahatika kuchanua likaja kundi la Senene likaendeleza uharibifu yaliyo nusurika kubeba likafumka kundi la Panya hawajapata kutokea wakawa wanayalia shamba ebwanaeeh baada ya hapo ulitokea ukame hakuna mfano hadi migomba ilisalimu amri nakumbuka mifugo ilikufa sana duh,
 
Leo katika pita pita zangu nimekutana na mzee wa makamo nikajaribu kumshilikisha mipago yangu ya kilimo pamoja na utunzaji wa mazao pindi yatakapo panda bei niweze kupata faida.

Mzee ameanza kunipa historia ya kuanzia miaka ya 1974 na kunieleza ya kuwa na uzoefu wa hio biashara kwa mda mrefu.

Amenieleza kuwa miaka inayoishia na nne yani 1974,1984,1994, 2004, 2014 hua aina mvua kabisa ndo maana mazao ya chakula mfano mahindi huwa yanapanda sana bei kutokana na ukame.

Amenishauri kama nataka kuingia kwenye mfumo wa hiyo biashara nisubiri mpaka mwakani yani 2023 ndo ninunue mazao ya kutosha ili mwaka 2024 niweze kupata faida.

Je, niliyoelezwa ni ya kweli au mzee anataka kunichomesha kwa yeyote mwenye uzoefu wa haya mambo anaweza kunisaidia 🙏

1974 unga wa yanga​

Sio kweli 2014 kulikua na mvua nyingi mpaka eneo la ruvu Barabara ya morogoro ilifungwa sababu mvua iinyesha mfululizo karibia mwezi mzima,

Hata1994 hakukua na ukame Bali 1997, 2004 hakukua na ukame, Ila 2005 kulikua na ukame wa Kawaida sio mkali kama ule wa 1997
 
Achilia mbali hizo nne nne hata mwaka 98 au 99 kama sijakosea nakumbuka mkoani Kilimanjaro ilipiga mvua kubwa sana wakaiita elnino basi mazao mengi yaliharibika sana. Mahindi yaliyobahatika kuchanua likaja kundi la Senene likaendeleza uharibifu yaliyo nusurika kubeba likafumka kundi la Panya hawajapata kutokea wakawa wanayalia shamba ebwanaeeh baada ya hapo ulitokea ukame hakuna mfano hadi migomba ilisalimu amri nakumbuka mifugo ilikufa sana duh,
97 kulikua na ukame 98 kukawa na elnin ambayo nao iliharibu mazao sana
 
Huyo mzee atakua mfuasi wa CCM , anaongea bila data.
1974 kulikua na njaa, njaa ile haikusababishwa na ukosefu wa mvua Kama watu wa TANU walivyo waaminisha wananchi kipindi kile.
1973 kulikua na zoezi liitwalo operation vijiji. Watu walilazimishwa na serikali ya TANU kuhama makazi Yao ya asili na kwenda kurundikana kwenye vijiji vya ujamaa.
Mwaka ule watu wengi hawakujihusisha na kilimo kwasababu walikua wanajenga nyumba kwenye makazi mapya (vijiiji vya ujamaa)
Mtakumbuka 1974 kulikua na kipindupindu kikali mmno kilichosababishwa na mrundikano wa watu na ku share maji, ambayo yalikua adimu.
Mkuu Deceiver hapo kwenye uwepo wa " kipindupindu kikali mno mwaka 1974" umetu 'deceive'. Taarifa zilizopo kuhusu historia ya ugonjwa wa kipindupindu Tanzania zinaeleza kuwa mwaka huo wa 1974 ndipo visa vya wagonjwa 10 (kumi) wa kwanza wa kipindupindu kuripotiwa nchini na tangu mwaka 1977, visa viliripotiwa kila mwaka kwa kiwango hatarishi cha wastani wa 10.5%) (case fatality rate (CFR) kati ya mwaka 1977 na 1992. Mlipuko mkuu kabisa wa ugonjwa huu ulitokea mwaka 1992 ambapo kulikuwa na visa vya maambukizi 18,526 ambapo vifo 2,173 viliripotiwa. Chanzo: Shirika la Afya Duniani (WHO), Global Task Force on Cholera Control, Cholera Country Profile: United Republic of Tanzania, 7 April 2008
 
Mkuu.
Report za Hawa watu wanaojilipa mishahara ya ajabu sio za kutilia maanani Sana.
Angalia WHO ilivyotuweka roho juu mwaka Jana.
Niambie UNICEF wanafanya nini nchini.
 
Mkuu Deceiver waulize wahenga wenzangu pia watakuja kucement takwimu hizo.
 
Excerpt from:

NJAA: FOOD SHORTAGES AND FAMINES IN TANZANIA BETWEEN THE WARS, by Gregory H. Maddox

In 1944, the provincial commissioner of the Central Province of Tanganyika reported that a food shortage among the Gogo people had made necessary the importation of large amounts of food for famine relief. The P.C. boasted that despite the dire circumstances, only one death occurred directly as a result of a lack of food. An old man with three children in his care did not have enough money to buy more than one ration a day from the government relief stores. For several weeks he fed his children while he survived on the scraps. When he at last made his plight known to his local Native Authority chief, the district officer ordered that the man be given two rations a day to split among the four members of his household free of charge. Regretfully the P.C. reported "it proved too late and the old man succumbed."

Reports such as the one above were common between 1918 and 1945. Not a year went by without at least one district reporting a food shortage. Although most such shortages remained minor, at times the specter of hunger claimed hundreds of lives. These deaths defy a simple explanation; for despite the unpredictability of Tanzania's rainfall patterns, climate is not sufficient to explain the repeated outbreaks of food shortage.

Indeed, no one factor can be said to have "caused" these food shortages. As many authors have noted, any food shortage entails a breakdown in both production and in supply.For Tanzania, Helge Kjekshus has argued that the colonial system in East Africa caused food shortages by destroying the base of African food production and inhibiting the development of supply mechanisms.4 However, Kjekshus errs in ignoring the variable conditions of agriculture in favor of a broad, over-reductive model. What follows is an attempt to understand food shortages in Tanganyika between the wars as a result of the interaction of Tanzania's diverse climate with colonial policy and world economic conditions. The food shortages that this interaction caused did not end with independence, and a study such as this one can provide useful insights about current food supply problems.

Both geographic location and environment helped determine the relationship of areas in Tanganyika to the world economy and to each other. Although no area exactly mirrored another, the interaction of man and environment does seem to fall into four broad types, each of which had different potentialities for agricultural production: (1) highland areas on the slopes of mountains produced coffee, bananas, and plantains;5 (2) areas on the slopes of the central plateau produced grain, cotton, and groundnuts, often coupled with small scale cattle keeping; (3) the people of the semi-arid central plateau kept large herds of cattle and practiced some agriculture; (4) in a few areas in river valleys and lake shores or sea coasts, people grew large amounts of rice and cotton for export. British policy towards agriculture tended to unify areas of each type, yet colonial policy itself was influenced by environmental conditions in each of the various areas.

Not only did differences exist between areas practicing different types of agriculture, but localities following the same basic agricultural patterns differed from each other by degrees of interaction with the colonial economy at any point in time. Some areas, especially those growing coffee, fit very closely into British concepts of peasant production. Almost entirely self-sufficient in food, they also supplied a dependable and profitable cash crop. In many of the areas growing rain-fed grains and some of the semi-arid cattle areas, however, the growing of cash crops represented an absolute trade-off with food production. In other rain-fed grain zones, the lack of transportation made wage labor, often on estates or mines far away, the only way to earn cash and, although British officials denied it, often came at the expense of food production. In some of the large rice-growing areas and some of the rain-fed grain zones, cash crops either were themselves food crops or complemented the production of food crops; yet the inability to import food because of the underdevelopment of the transportation and marketing systems meant that one bad year could lead to widespread food shortages despite the general wealth of an area.

John Iliffe has tried to describe the colonial economy almost solely in terms of the type of functional differentiation outlined in the preceding paragraph. In his division, one type of area produced goods for export using cheap African labor. Other, more remote areas produced migrant laborers for the export sectors. A third type of region produced foodstuffs to feed the export sectors. While Iliffe's functional division is helpful in understanding the impact of the world economy on agriculture in Tanganyika, he ignores the varying productive possibilities within different areas. It is necessary to look at the four types of areas and the food shortages that occurred within them in the years between the wars…
 
Inaonesha njaa ilikuwepo hata kipindi cha ukoloni.
Sio sahihi kila wakati kuhusisha famine na utawala wa kisiasa
 
Ukame pande hizi huwa ni cycle baada ya miaka kadhaa huwa kunatokea Ukame.., lakini na hii tabia nchi nothing is predictable...

Ushauri tafuta soko la uhakika la bidhaa zako na sio kuvizia njaa (majanga kwa wengine) ili wewe upige pesa.., kama inawezekana upate faida hata wakati wa neema na sio kusubiria majanga;
 
Inaonesha njaa ilikuwepo hata kipindi cha ukoloni.
Sio sahihi kila wakati kuhusisha famine na utawala wa kisiasa
Kushindwa kwa utawala wa Kisiasa na kutokujiandaa yaani kuwa na safety net wakati wa majanga
 
Leo katika pita pita zangu nimekutana na mzee wa makamo nikajaribu kumshilikisha mipago yangu ya kilimo pamoja na utunzaji wa mazao pindi yatakapo panda bei niweze kupata faida.

Mzee ameanza kunipa historia ya kuanzia miaka ya 1974 na kunieleza ya kuwa na uzoefu wa hio biashara kwa mda mrefu.

Amenieleza kuwa miaka inayoishia na nne yani 1974,1984,1994, 2004, 2014 hua aina mvua kabisa ndo maana mazao ya chakula mfano mahindi huwa yanapanda sana bei kutokana na ukame.

Amenishauri kama nataka kuingia kwenye mfumo wa hiyo biashara nisubiri mpaka mwakani yani 2023 ndo ninunue mazao ya kutosha ili mwaka 2024 niweze kupata faida.

Je, niliyoelezwa ni ya kweli au mzee anataka kunichomesha kwa yeyote mwenye uzoefu wa haya mambo anaweza kunisaidia [emoji120]
Wee jamaa ,ulifufuka?
 
Back
Top Bottom