Baada ya ugali kupikwa,huwa kinachobaki kwenye sufuria ni ule ukoko wa ugali,Basi sufuria inajazwa maji ili Basi ule ukoko ulainike,mnaacha sufuria Hadi kesho,mnaenda shule asubuhi huku kila moja akiwa na ukoko wake wa ugali wa Jana uliokuwa mlaini,kila mtu huweka msosi(ukoko)wake kwenye
Jani lolote...asubuhi na mchana,jioni inaweza kuisha hivyo kwa kula ukoko Kama unga usipoletwa....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.