Mwenye kuzielewa Submeter za Umeme aje hapa

Just Distinctions

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2016
Posts
3,230
Reaction score
6,742
Habari za wakati huu, naomba kufahamishwa kuhusiana na submeter ambazo zinaonesha ni kiwango gani mpangaji anatumia umeme, Je zinafanyaje kazi?, je zipi ndio nzuri na ni brand gani ndio imara zaidi? Wapi zinapatikana na gharama yake ikoje?
 
Mzee unatoa na amri kabisa kuwa aje hapa as if unamlipa??
 
Kwenye kuziunga na main meter TANESCO hawawezi kuona kama unafanya hujuma?
Hapana tena watu wengi wameziunga kwenye main Meter hasa nyumba ambazo wapangaji wanaishi na mwenye nyumba.

Mwenye nyumba anakuwa ameshanakili kila umeme wa mpangaji so ukiisha tu anakupa muongozo hata kama haujui kuitumia.

Ili kuepusha kutumia umeme wa wapangaji wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…