Mwenye kuzielewa Submeter za Umeme aje hapa

Mwenye kuzielewa Submeter za Umeme aje hapa

Ninayo moja orijino, ukihitaji ntakupa bure kabisa, utanipa ya chai elf kumi na usafiri elf kumi inakufikia ulopo.
 
Sasa ndo nini.

Yaani nimenunua umeme, niendelee kukaa gizani hadi Fulani arudi aje ahakikishe navoweka units!
Kwenye nyumba za kupanga ukionekana wewe ndo mwenye shida na umeme utaumia sana na utalalamika na kugombana na wanaojifanya hawana shida na umeme wakati wanautaka. Suluhisho ni wewe kuendana na mfumo wao, otherwise panga nyumba ya peke yako au jenga yako au weka mita yako km TANESCO wanakubali na km mtaelewana na mwenye nyumba. Full stop.
 
Kuna mdau mmoja ametaja yenye uwezo wa kukata umeme binafsi kwenye site yangu moja nimefunga aina hii.

Mtu ataweka umeme toka mita kubwa halafu atahamisha kwa kufanya vending ya units "online" na kupata token za kwenye hii submeter ndio atajaza humo.

Units zake zikiisha ndio inakata.

Gharama yake nilinunua per piece 130,000 Kariakoo.
20240617_121854.jpg
 
Kuna mdau mmoja ametaja yenye uwezo wa kukata umeme binafsi kwenye site yangu moja nimefunga aina hii.

Mtu ataweka umeme toka mita kubwa halafu atahamisha kwa kufanya vending ya units "online" na kupata token za kwenye hii submeter ndio atajaza humo.

Units zake zikiisha ndio inakata.

Gharama yake nilinunua per piece 130,000 Kariakoo.
View attachment 3019305

Main meter (tanesco) ikiishiwa unit, hicho kisubmita nacho kinazima.

Tabu ipo pale pale bado.

-Kaveli-
 
YAANI HAPO KWENYE MVULUGANO WA KUNUNUA SUB METER NDIPO UTAONA UMUHIMU WA KUJENGA NYUMBA YAKO BINAFSI[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nielewe Kwanza,
Kuna aina mbili za submeter kuna inayo count up, ambayo wengi nazijua na zipo madukani na kina hiii inayo count down ambayo mm ilijaribu kuielezea,
Kwamfano umepanga nyumba naiyoo nyumba mpo wapangaji wanne lakin iyoo nyumba mnashare main meter 1 yatanesko,
kumbuka hapo meter ya tanesko inahesabu matumiz yanyinyi wote kwapamoja haijalishi hp ww au wenzio nan anamatumiz makubwa,
Ndomana tunafunga submeter ilikuweza kujua matumiz ya kila mmoja.
Sasabasi Kama kwenye iyo nyumba wote wanne mmefungiwa sabmeter ambazo Zina caunt down,
ww mpangaji wakwaza ukanunua umeme wa 5000 ambazo nikama unit 14.0 utaingiza token kwenye main meter Zita display unit 14.0, utaludi kwenye submeter yako utaingiza iyoo namba 14.0 kuanzia hp itakuwa inasoma matumizi yako mpaka utakapo maliza unit zako 14.0 zikiisha inakukatia umeme.
Ss simpo wapangaji wanne ww ulinunua umeme wa 5000 unit 14.0, mwenzio kanunua wa 10,000 unit 28.0 mwingine wa 2500 unit 7.0 na wamwisho labda wa 20,000 unit 56.0

kule kwenye main meter ya tanesko kunakuwa njumla you unit 105.0 yan ww na nawapangi wenzio umeme mlionunua.
Kwaiyo hapo kila mtu atatumia kile alichoweka zikiisha anakosa umeme.
Sijui umenielewa.
Hii ni nzuri kwani inapunguza uwezekano wa kukaa gizani kwa kiasi kubwa kwa ambao umeme wao haujaisha. Kifupi athari ya umeme alionunua mmoja wapo kuisha kwenye submeter yake ni yeye mwenyewe kukaa gizani.
 
Back
Top Bottom