Mwenye kuzielewa Submeter za Umeme aje hapa

Hapana tena watu wengi wameziunga kwenye main Meter hasa nyumba ambazo wapangaji wanaishi na mwenye nyumba.

Mwenye nyumba anakuwa ameshanakili kila umeme wa mpangaji so ukiisha tu anakupa muongozo hata kama haujui kuitumia.

Ili kuepusha kutumia umeme wa wapangaji wengine.

Kwani hizo meter umeme wako ukiisha si unakata upande wako tu? Kwanini mpaka mwenye nyumba akuambie? Si zikisha tu unakaa giza wenzako kwao unawaka then unajiongeza mwenyewe.
 
Hapana, kama mnashea main meter umeme wako ukiisha utakuta unatumia umeme wa mwingine.

Hii inatoa usumbufu pale mtu akiwa na matumizi makubwa so umeme ukikata wakati matumizi yako hajafika mwisho inabidi aweke yeye we utaendelea kutumia mpaka umeme ulionunua ufike mwisho ndio utanunua mwingine.
 
Kama mnashea main meter umeme wako ukiisha utakuta unatumia umeme wa mwingine.

Hii inatoa usumbufu pale mtu akiwa na matumizi makubwa so umeme ukikata wakati matumizi yako hajafika mwisho inabidi aweke yeye we utaendelea kutumia mpaka umeme ulionunua ufike mwisho ndio utanunua mwingine.

Hizo ni hizi za kawaida tu. Zinasoma tu na kudisplay matumizi ya umeme kwenye vyumba vyako, yaani elewa hapo... 'zinasoma' tu na kudisplay.
 
Ukiwa na Submeter inamaanisha kwamba utakuwa unajiwekea umeme wako mwenyewe? Na Mpangaji mbishi atakuwa analala giz asipojinunulia? Kama ni hiyo hizo ni znuri sana kwenye nyumba za kupanga.
Hapana sio hivyo,
Submeter zilizopo sokoni Zina count up kwaivyo haiwezekani.
kulitakiwa ziwepo submeter zinazo count down Kama hizi za tanesko kila mtumiaji anaingiza unit namba sio token, kwamfano umenunua umeme wa 5000 nikama unit 14.0 token unaingiza kwenye main meter ya tanesko unit unaingiza kwenye submeter 14.0 kwaiyo mtumiaji ataanza kutumia umeme wake kuanzia 14.0 mpaka utakapofika 0, hapo umeme wake umeisha na submeter inamkatia umeme hapo hapo.
 
Yes, inahitajika submita ya namna hiyo... kila mtu ajaze umeme wake autumie kwenye vyumba vyake tu, ukimuishia ukate kwake peke ake.
 
reply #4
 
Habari za wakati huu, naomba kufahamishwa kuhusiana na submeter ambazo zinaonesha ni kiwango gani mpangaji anatumia umeme, Je zinafanyaje kazi?, je zipi ndio nzuri na ni brand gani ndio imara zaidi? Wapi zinapatikana na gharama yake ikoje?

Nunua kampuni ya clik na ufanyaji kazi wake ni ule wire unaoingia chumba vha mpangaji wako ndio unapitia hapo kwanza ndio inaanza kusoma 0001 hiyo moja inasoge kutembea 2,3,4,5 6 kulingana na matumizi yake.
 
Habari za wakati huu, naomba kufahamishwa kuhusiana na submeter ambazo zinaonesha ni kiwango gani mpangaji anatumia umeme, Je zinafanyaje kazi?, je zipi ndio nzuri na ni brand gani ndio imara zaidi? Wapi zinapatikana na gharama yake ikoje?

Gharama yake mjini duka la jumla ni shilingi 20000 ukienda duka la rej reje unapigwa 25 hadi 30
 
Iyo ipo mkuu, ila inatakiwa wafungiwe zinazofanana
Unanunua Wapi; Kwa Mita Number ipi na Kwa Token ipi na unamlipa nani ?

Sisemi kwamba technically / practically hili haliwezekani bali system hio inabidi iungwe kwenye mfumo wa Tanesco kama unawalipa Tanesco unless unanunua kwa mwenye nyumba yaani connection yako inakuwa connected kwenye main meter yeye ndio anakupimia kwa mafungu hence ukiisha kwenye main meter na kwako unaisha inabidi ununuliwe upya

Hakuna kinachoshindikana issue ni practicability na mfumo upo vipi....; Ingawa anachosema jamaa kwa urahisi zaidi kila mpangaji afungiwe mita yake (na hizi issue za kukatwa kodi kwenye mita huchelewi kujikuta unaongeza gharama) Ingawa hizo meter reader nadhani zinatosheleza mahitaji sababu kila mtu analipa alichotumia
 
Hizo submiter mbona zipo.. hata mimi naitumia, Unanunua umeme mita kubwa then unauvuta unakuja kwenye submita yako, kama ni unit 10 zikiisha unakata wako tu, wengine wanaendelea na umeme.
 
Kujaza na kununua unanunua kwenye mita kubwa kwa token ipi ya mita kubwa ? Na unanunua Tanesco au unanunua within surrounding / nyumba yenu ?

Yaani ni internal system ? Sisemi kwamba hazipo naongelea ule ununuzi; Kuwepo hata nilishaona Mita UK mwenye nyumba anafunga umeme toka grid alafu wewe anakufungia meter ukiweka token / pesa unatumia pesa ikiisha inakata....

1687113260308.png

Labda na hizi zako ni mfumo huo / umeme unanunua kwa mwenye nyumba / mwenye mita....
 
Hapana sio hivyo,
Submeter zilizopo sokoni Zina count up kwaivyo haiwezekani.
kulitakiwa ziwepo submeter zinazo count down Kama hizi za tanesko kila mtumiaji anaingiza unit namba sio token, kwamfano umenunua umeme wa 5000 nikama unit 14.0 token unaingiza kwenye main meter ya tanesko unit unaingiza kwenye submeter 14.0 kwaiyo mtumiaji ataanza kutumia umeme wake kuanzia 14.0 mpaka utakapofika 0, hapo umeme wake umeisha na submeter inamkatia umeme hapo hapo.

SIjaelewa submeter zinafanyaje kazi? Ukinunua umeme wa elfu 5 unit 14 unaziweka kwenye Main Mater au Submeter? Mechanism gani ambayo inatumika kukata umeme kwenye submeter ya mtu ambaye umeme wake umeisha na mwingine ambao haujisha iendelee kumpatia umeme?
 
hizo sub meter zilizoboreshwa bado hazisaidii kutatua changamoto iliyopo
lazima kuwe na maelewano baina ya wapangaji, au kuwe na mtu mmoja(mwenye nyumba) awe anadhibiti ununuzi wa umeme toka kwa kila mtumiaji ili aweze generate token husika kwa mtumiaji husika kulingana umeme alionunua

hiyo meter siyo standalone kama wengi wanavyofikiri
 
SIjaelewa submeter zinafanyaje kazi? Ukinunua umeme wa elfu 5 unit 14 unaziweka kwenye Main Mater au Submeter? Mechanism gani ambayo inatumika kukata umeme kwenye submeter ya mtu ambaye umeme wake umeisha na mwingine ambao haujisha iendelee kumpatia umeme?
Nielewe Kwanza,
Kuna aina mbili za submeter kuna inayo count up, ambayo wengi nazijua na zipo madukani na kina hiii inayo count down ambayo mm ilijaribu kuielezea,
Kwamfano umepanga nyumba naiyoo nyumba mpo wapangaji wanne lakin iyoo nyumba mnashare main meter 1 yatanesko,
kumbuka hapo meter ya tanesko inahesabu matumiz yanyinyi wote kwapamoja haijalishi hp ww au wenzio nan anamatumiz makubwa,
Ndomana tunafunga submeter ilikuweza kujua matumiz ya kila mmoja.
Sasabasi Kama kwenye iyo nyumba wote wanne mmefungiwa sabmeter ambazo Zina caunt down,
ww mpangaji wakwaza ukanunua umeme wa 5000 ambazo nikama unit 14.0 utaingiza token kwenye main meter Zita display unit 14.0, utaludi kwenye submeter yako utaingiza iyoo namba 14.0 kuanzia hp itakuwa inasoma matumizi yako mpaka utakapo maliza unit zako 14.0 zikiisha inakukatia umeme.
Ss simpo wapangaji wanne ww ulinunua umeme wa 5000 unit 14.0, mwenzio kanunua wa 10,000 unit 28.0 mwingine wa 2500 unit 7.0 na wamwisho labda wa 20,000 unit 56.0

kule kwenye main meter ya tanesko kunakuwa njumla you unit 105.0 yan ww na nawapangi wenzio umeme mlionunua.
Kwaiyo hapo kila mtu atatumia kile alichoweka zikiisha anakosa umeme.
Sijui umenielewa.
 
Back
Top Bottom