King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hapana tena watu wengi wameziunga kwenye main Meter hasa nyumba ambazo wapangaji wanaishi na mwenye nyumba.
Mwenye nyumba anakuwa ameshanakili kila umeme wa mpangaji so ukiisha tu anakupa muongozo hata kama haujui kuitumia.
Ili kuepusha kutumia umeme wa wapangaji wengine.
Hapana, kama mnashea main meter umeme wako ukiisha utakuta unatumia umeme wa mwingine.Kwani hizo meter umeme wako ukiisha si unakata upande wako tu? Kwanini mpaka mwenye nyumba akuambie? Si zikisha tu unakaa giza wenzako kwao unawaka then unajiongeza mwenyewe.
Hakuna submeter ya hivyoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama mnashea main meter umeme wako ukiisha utakuta unatumia umeme wa mwingine.
Hii inatoa usumbufu pale mtu akiwa na matumizi makubwa so umeme ukikata wakati matumizi yako hajafika mwisho inabidi aweke yeye we utaendelea kutumia mpaka umeme ulionunua ufike mwisho ndio utanunua mwingine.
Hapana sio hivyo,Ukiwa na Submeter inamaanisha kwamba utakuwa unajiwekea umeme wako mwenyewe? Na Mpangaji mbishi atakuwa analala giz asipojinunulia? Kama ni hiyo hizo ni znuri sana kwenye nyumba za kupanga.
Ndio, kwani we unafkiri zinafanyaje? Au unaongelea zipi wewe.Hizo ni hizi za kawaida tu. Zinasoma tu na kudisplay matumizi ya umeme kwenye vyumba vyako, yaani elewa hapo... 'zinasoma' tu na kudisplay.
Hapana sio hivyo,
Submeter zilizopo sokoni Zina count up kwaivyo haiwezekani.
kulitakiwa ziwepo submeter zinazo count down Kama hizi za tanesko kila mtumiaji anaingiza unit namba sio token, kwamfano umenunua umeme wa 5000 nikama unit 14.0 token unaingiza kwenye main meter ya tanesko unit unaingiza kwenye submeter 14.0 kwaiyo mtumiaji ataanza kutumia umeme wake kuanzia 14.0 mpaka utakapofika 0, hapo umeme wake umeisha na submeter inamkatia umeme hapo hapo.
Ndio, kwani we unafkiri zinafanyaje? Au unaongelea zipi wewe.
Yes, inahitajika submita ya namna hiyo... kila mtu ajaze umeme wake autumie kwenye vyumba vyake tu, ukimuishia ukate kwake peke ake.
Habari za wakati huu, naomba kufahamishwa kuhusiana na submeter ambazo zinaonesha ni kiwango gani mpangaji anatumia umeme, Je zinafanyaje kazi?, je zipi ndio nzuri na ni brand gani ndio imara zaidi? Wapi zinapatikana na gharama yake ikoje?
Habari za wakati huu, naomba kufahamishwa kuhusiana na submeter ambazo zinaonesha ni kiwango gani mpangaji anatumia umeme, Je zinafanyaje kazi?, je zipi ndio nzuri na ni brand gani ndio imara zaidi? Wapi zinapatikana na gharama yake ikoje?
Unanunua Wapi; Kwa Mita Number ipi na Kwa Token ipi na unamlipa nani ?Iyo ipo mkuu, ila inatakiwa wafungiwe zinazofanana
Hizo submiter mbona zipo.. hata mimi naitumia, Unanunua umeme mita kubwa then unauvuta unakuja kwenye submita yako, kama ni unit 10 zikiisha unakata wako tu, wengine wanaendelea na umeme.Unanunua Wapi; Kwa Mita Number ipi na Kwa Token ipi na unamlipa nani ?
Sisemi kwamba technically / practically hili haliwezekani bali system hio inabidi iungwe kwenye mfumo wa Tanesco kama unawalipa Tanesco unless unanunua kwa mwenye nyumba yaani connection yako inakuwa connected kwenye main meter yeye ndio anakupimia kwa mafungu hence ukiisha kwenye main meter na kwako unaisha inabidi ununuliwe upya
Hakuna kinachoshindikana issue ni practicability na mfumo upo vipi....; Ingawa anachosema jamaa kwa urahisi zaidi kila mpangaji afungiwe mita yake (na hizi issue za kukatwa kodi kwenye mita huchelewi kujikuta unaongeza gharama) Ingawa hizo meter reader nadhani zinatosheleza mahitaji sababu kila mtu analipa alichotumia
Kujaza na kununua unanunua kwenye mita kubwa kwa token ipi ya mita kubwa ? Na unanunua Tanesco au unanunua within surrounding / nyumba yenu ?Hizo submiter mbona zipo.. hata mimi naitumia, Unanunua umeme mita kubwa then unauvuta unakuja kwenye submita yako, kama ni unit 10 zikiisha unakata wako tu, wengine wanaendelea na umeme.
Hapana sio hivyo,
Submeter zilizopo sokoni Zina count up kwaivyo haiwezekani.
kulitakiwa ziwepo submeter zinazo count down Kama hizi za tanesko kila mtumiaji anaingiza unit namba sio token, kwamfano umenunua umeme wa 5000 nikama unit 14.0 token unaingiza kwenye main meter ya tanesko unit unaingiza kwenye submeter 14.0 kwaiyo mtumiaji ataanza kutumia umeme wake kuanzia 14.0 mpaka utakapofika 0, hapo umeme wake umeisha na submeter inamkatia umeme hapo hapo.
hizo sub meter zilizoboreshwa bado hazisaidii kutatua changamoto iliyopoSIjaelewa submeter zinafanyaje kazi? Ukinunua umeme wa elfu 5 unit 14 unaziweka kwenye Main Mater au Submeter? Mechanism gani ambayo inatumika kukata umeme kwenye submeter ya mtu ambaye umeme wake umeisha na mwingine ambao haujisha iendelee kumpatia umeme?
Nielewe Kwanza,SIjaelewa submeter zinafanyaje kazi? Ukinunua umeme wa elfu 5 unit 14 unaziweka kwenye Main Mater au Submeter? Mechanism gani ambayo inatumika kukata umeme kwenye submeter ya mtu ambaye umeme wake umeisha na mwingine ambao haujisha iendelee kumpatia umeme?
ndo maana inabdi zifungwe nje kila mmoja awe anaonaaaa na kurekodi kila muda mnapowekaa umeme.Kwahiyo MwenyeNyumba au wapangaji mnakuwa na kazi ya kuchungulia ni nani umeme wake umefikia kikomo.
Bila hivyo mtu anaweza kukausha akatumia umeme wa wengine.