Mwenye kuzielewa Submeter za Umeme aje hapa

Tatizo watu wengi hawajui kuzitumia na bado zabei rahisi Zina stuck na kuluka number
nandioo maana mwisho wasiku zinaonekana useless.
 

Ok hapo nimeelewa vizuri mkuu.
 
Hakuna submeter ya hivyoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sub Meter zipo aina nyingi sana kwanzia tsh. 20,000 mpka tsh 300,000 (moja) na hizo ndo nazo zijua, na zinauwezo tofaiti. sema wengi tunafunga za bai rahisi(za kusoma matumizi ya unit tu) ila za kuwanzi tsh 160,000/= huwa zinauwezo wakuweka idadi ya unit ulizonunua baada yakuziweka kwenye main meter.. na zikiisha kwenye sub inzima na wengine kuendelea kutumia kama haujaisha kwenye main.

nyingine zinakuja na software (app) zaku'install kwenye sim au komputa. hela yako tu.
 
Sub meter kwa sasa zipo za aina mbili

Zipo zinazohesabj matumizi ya kila mtu meter kubwa ikiisha wote mnakosa umeme bei zake hizi ni 15000 mpk 30000

Na zipo advance nyingine kila mmoja anafungiwa.Kwako umeme ukiisha zinakata kwako tu kwa wengine kunawaka.Ila lazima awepo mtu mmoja control ukinunua umeme utampa yeye anaweka kwenye mita kubwa then anakuhamishia kwenye sub meter yako ndogo
 

Mkuu buyoya419 , hebu fafanua zaidi hiyo no. 2.
 

Mkuu mpanga liganga , kwahiyo hiyo submeter inacount-down?

Na unit zinapoisha kwa mtumiaji mmoja na kukata kwake tu, anajaza vipi tena umeme wake ilihali kwenye main meter bado kuna units za watumiaji wengine?
 
Ukiwa na Submeter inamaanisha kwamba utakuwa unajiwekea umeme wako mwenyewe? Na Mpangaji mbishi atakuwa analala giz asipojinunulia? Kama ni hiyo hizo ni znuri sana kwenye nyumba za kupanga.
Submeter haikuzuii kulala giza kwani inapata umeme toka kwenye mita kubwa ya mwenyenyumba, mwenyenyumba asiponunua umeme na wewe utaukosa japo salio lako halijaisha.
 
Submeter haikuzuii kulala giza kwani inapata umeme toka kwenye mita kubwa ya mwenyenyumba, mwenyenyumba asiponunua umeme na wewe utaukosa japo salio lako halijaisha.

Na hapo ndipo panachanganya uelewa hapa.

Tuna main meter moja ya Tanesco. Wapangaji watatu...

Ni submeter ya kucount-down?

Kwangu napomaliza unit zangu itakata kwangu tu?

Wenzagu wakimaliza units zao na wasiweke mwingine, je Mimi ambaye bado sijamaliza units utaendelea kuwaka kwangu?
 
Jibu tayari, utakatika ila utaendelea kuwa na units zako.
 
Na developer atakayekuja na meter hzo atapiga mpunga mwingi mnooo,naamini wapo machimbo wanaumiza vichwa
 
Mkuu King Kong III , umemuelewaje hapo huyo mdau?
Mkuu mbona maelezo yapo clear kabisa? Kila mtu anatumia umeme kadri alivyonunua ,hizo submeter kazi yake ni kucount tu unit zako ulizoweka kwenye main meter...Zikiisha zinakata kwenye supply yako tu wengine ambo unit zao kama zipo umeme utakuwepo.
 
Je mkuu naomba niulsizze hapo sisi tunampangaji yeye ndo Huwa anajinunulia umeme ,ila wakati mwengine haleti token tuweke kwenye main meter hapa inakuaje hatuibii kwel umeme sisi WA main meter?
 
Kwa maana hiyo hizo submeter ni lazima wapangaji wote wafunge akifunga mpangaji mmoja haina maana kwa maana ikitokea wenzako ambao hawajafunga wakimaliza unit zao wataendelea kutumia za kwako..

Kingine kwa maelezo yako hizo submeter lazima zinahitaji mtu atakae kuwa ana zi monitor (Adimin)
Je ikitokea huyo admin akawa sio mwaminifu kwa kuongeza kiwango cha unit kwenye submeter moja wapo mf. Kwenye main meter zimewekwa unit 14 alafu kwenye submeter akaweka unit 30 je hiyo system inawezaje kutatua hili tatizo?
 
Je mkuu naomba niulsizze hapo sisi tunampangaji yeye ndo Huwa anajinunulia umeme ,ila wakati mwengine haleti token tuweke kwenye main meter hapa inakuaje hatuibii kwel umeme sisi WA main meter?
Huyo mpangaji yeye anatumia aina ipi ya submeter?
 
Yaan kama kuna mtu hajakuelewa hadi hapa basi ndio hao wanao pata division 5 ,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lazima hapo kuwe na mbabe mmoja a kusimamia utaratibu maana vinginevyo mtu kisub meter chake kikikata anaenda kuchungulia kwenye main meter anakuta bado panapumua kama unit 40 hivi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ana wahi kwenye ki sub meter chake anaandika 7 ili avute vute kidogo apate ya kununulia wa kwake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ TANESCO bado inafanya kazi kizamani sana na ki enyeji sana.
 
nimepitia comments kadhaa.

kwa hili unalosema kuna sub meter zinapigiwa promo sana hasa social media humu, zenyewe zina mobile app ambayo ni token generator.

main meter ikiwa na unit 28 na kuna mtumiaji wa sub meter akaongeza kwa kununua umeme wa unit 7, jumla kuu itakua unit 35 kwenye main meter ya tanesco.

Mobile app, ndio control ya kila kitu. Mmiliki ataingia kwenye app yake na kuagizia token za unit 7 pamoja na submeter number kama ziko zaidi ya moja eneo lake.

Itatoa tokens na unampatia mpangaji wako anajiwekewa mwenyewe, kuanzia hapo itakua inafanya countdown ya 7 unit upande wa sub meter. Zikiisha inakata kwake tuu.

Angalizo, ninachokiona kwenye main meter ya tanesco kama kuna unit 28 ukaongeza 7 za mpangaji ukawa na jumla 35. kuna uwezekano wa kuchota unit zaidi ya 7 kwa kutumia app, maana balance inaruhusu.

Lazma awepo mtu wa kusimamia zoezi, maana sina hakika kama sub meter app inafanya kazi ukiwa mbali na nyumbani/ sub meter itself.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…