Nielewe Kwanza,
Kuna aina mbili za submeter kuna inayo count up, ambayo wengi nazijua na zipo madukani na kina hiii inayo count down ambayo mm ilijaribu kuielezea,
Kwamfano umepanga nyumba naiyoo nyumba mpo wapangaji wanne lakin iyoo nyumba mnashare main meter 1 yatanesko,
kumbuka hapo meter ya tanesko inahesabu matumiz yanyinyi wote kwapamoja haijalishi hp ww au wenzio nan anamatumiz makubwa,
Ndomana tunafunga submeter ilikuweza kujua matumiz ya kila mmoja.
Sasabasi Kama kwenye iyo nyumba wote wanne mmefungiwa sabmeter ambazo Zina caunt down,
ww mpangaji wakwaza ukanunua umeme wa 5000 ambazo nikama unit 14.0 utaingiza token kwenye main meter Zita display unit 14.0, utaludi kwenye submeter yako utaingiza iyoo namba 14.0 kuanzia hp itakuwa inasoma matumizi yako mpaka utakapo maliza unit zako 14.0 zikiisha inakukatia umeme.
Ss simpo wapangaji wanne ww ulinunua umeme wa 5000 unit 14.0, mwenzio kanunua wa 10,000 unit 28.0 mwingine wa 2500 unit 7.0 na wamwisho labda wa 20,000 unit 56.0
kule kwenye main meter ya tanesko kunakuwa njumla you unit 105.0 yan ww na nawapangi wenzio umeme mlionunua.
Kwaiyo hapo kila mtu atatumia kile alichoweka zikiisha anakosa umeme.
Sijui umenielewa.