Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

pole sana kaka,yaani huwa inatatiza kumuacha mzazi mwenzako hasa ukifikiria hatma ya mtoto,je umejaribu kumwambia ajirekebishe kwa baadhi ya tabia zinazokukera?poleni lakini
nlmwitia wamama wawil waongee nae akadai atabadlka tumekaa wik mbil tu kaanza tena yale yale
 
Ivyo vtu sivinaongeleka tu. Kama unaweza ww mchane live kwamba umeshindwa muulizane mnafanyaje kuusu mtoto basi. Aking'ang'ania mwachie tu. Wengi wanachukuaga baada ya mda akiona ushirikiano hamna anakurudishia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…