Mwenye namba ya Mbowe amtumie clip hii ya kwenye mkutano wa BAVICHA. Mbowe ajitafakari sana!

Mwenye namba ya Mbowe amtumie clip hii ya kwenye mkutano wa BAVICHA. Mbowe ajitafakari sana!

Wakuu,

Mbowe kama ana akili timamu inabidi mara tu akiona clip angejiuzulu mara moja na kutangaza kutokugombea tena.

Unapata wapi nguvu ya kutaka kuingia kwenye box la kura na hali iko kama hivi?

Mbowe ajitafakari sana!

View attachment 3200855
Hao wote siyo wapiga kura wa kuchagua mwenyekiti!
 
Wakuu,

Mbowe kama ana akili timamu inabidi mara tu akiona clip angejiuzulu mara moja na kutangaza kutokugombea tena.

Unapata wapi nguvu ya kutaka kuingia kwenye box la kura na hali iko kama hivi?

Mbowe ajitafakari sana!

View attachment 3200855
1. Ni wakati wa Lissu
2. Ni majira ya Lissu
Sijui wataweza kumnyamazisha au la lkn watambue majira na nyakati
 
Manka kichwa changu cha chini umepata omba kingine kazi kwako ukikakatikie fresh na mimba utapata.
Utaliwa mtungo dogo shauri yako

Nilikuambia tena siku naondoka na hiyo kichwa kama jiwe la mto malagalasi utaelewa

Mpumbavu sana wewe
 
Umezoea kuliwa Yas dogo

Na time hii bwanako tunakata hiyo kichwa
Wewe si ndiyo umesema unataka kichwa changu cha chini au umeshasahau? Nimeamua kukupa hitaji la moyo wako,nimekupa maelekezo kuwa ukitendee haki kwa kukikatikia fresh. Mtoto manka umeutaka mwenyewe.
 
Wakuu,

Mbowe kama ana akili timamu inabidi mara tu akiona clip angejiuzulu mara moja na kutangaza kutokugombea tena.

Unapata wapi nguvu ya kutaka kuingia kwenye box la kura na hali iko kama hivi?

Mbowe ajitafakari sana!

View attachment 3200855


Mbowe yupo kama aina fulani ya kuku ambao wakitotoa vifaranga wanashindwa vinaliwa vyote na mwewe kutokana na upole wao.
CCM ni kama mwewe ,ilianza kuvuruga uchaguzi kuanzia 2015 Lowasa wa Mbowe akaporwa ushindi kwa kunyanganya computer za kujumlishia matokeo baada ya vyombo vya dola kubaoni kuwa matokeo yanayotangazwa na tume ni tofauti na matokeo halisi ambayo Chadema walikua wanayapata toka mikoa yote. Matokeo yalikua yanaootia kwanza kwenye centre ya CCM ya goli la mkono na kubadilishwa kisha kutumwa tume ya uchaguzi.
Dola wakaona kuwa wakiwaachia Chadema centre yao ya kujumlisha matokeo hali itakua mbaya maana watapata jumla halisi na huenda wakafanya vurugu kubwa ili Lowasa atangazwe.
Kibao kikageuzwa kuwa Centre ya Chadema ilikua ni kwa ajili ya kuchakachua matokeo ya kura .

Chadema wakavamiwa na centre yao ikafungwa na kunyang'anywa computer.
Mbowe Mzee wa busara akakaa kimya . CCM kama mwewe akaendelea na uchafuzi 2019 na 2020 na 2024 na Mbowe akiendelea kubaki kwenye kiti basi 2025 ndio itakua funga kazi maana wetu watachujwa hadharani na kila aina ya uovu watafanyiwa wetu na wanachama wa Chadema.

Chini ya Mbowe siasa zitakua ngumu sana mwaka huu maana hakuna mgombea wa CCM anayekubali kushindwa kwa amani .

Tofauti ya Lisu na Mbowe ni kwamba Lisu ni kama kuku mkali sana anayelinda vifaranga vyake dhidi ya mwewe. Mwewe akijaribu kuchukua kifaranga kimoja basi atakutana na mkongongoto mkali sana . Vifaranga wanakuwa salama .

Kwa kawaida hakunaga ustaarabu wala haki kwenye kutafuta maslahi kama vile kutafuta ubunge au udiwani ambao kwa ubunge mshahara upo juu zaidi ya mara 30 ya mshahara wa baadhi ya watumishi wa vyombo vya dola . Wakati huo huo hakuna ajira . Hapo kwa kuku mpole kama Mbowe ni wazi kuwa vifaranga vyake vyote vitaliwa na mwewe( CCM) .

Wahenga walisema amani haiji ila kwa ncha ya Upanga . Kwa maana kwamba ubaya Ubwela . Ukichoma bendera moja ya chama cha upinzani kule Msumbiji basi zinachomwa za frelimo kumi au zote kila mahali nchi nzima . Ukichoma ofisi ya chama cha Renamo basi za Frelimo zinatiwa moto kama za kule USA .
Ubaya Ubwela.

Renamo Akitekwa mmoja balaa nchi nzima. Na wanajipanga kuwadhibiti watekaji na hata kuwatia moto watekaji kwani silaha zoa sio mabomu ya nyukilia bali ni risasi za kawaida tu na mtu anaweza akadhibitiwa kabisa

Mbowe apumzike ataua chama hata kama Lisu atabaki lakini hakuna mtu atajitokeza kupigania haki wala kujitoa kwenye maandamano na mikutano ya hadhara.
 
Back
Top Bottom