Nena vijijini na sio hapa mjini. Labda uvizie hao wanaoletwa na vigogo hapa mjini.Kama unamjua mganga ambae hana vipengele wala hana garama, ila ni mtaalam kweli kweli dondosha apa namba zake wadau waruke nazo. Hakikisha hana vipengele.
🤣🤣🤣🤣🤣 Kazi na dawa mzeee
HaahaKama unamjua mganga ambae hana vipengele wala hana garama, ila ni mtaalam kweli kweli dondosha apa namba zake wadau waruke nazo. Hakikisha hana vipengele.
🤡Ashawah kukuwekea sawa vipengele?
Dondosha namba yake