Mwenye namba ya mganga ambae sio tapeli. Na ambae hana garama za ovyo. Dondosha namba yake apa

Mwenye namba ya mganga ambae sio tapeli. Na ambae hana garama za ovyo. Dondosha namba yake apa

Kama unamjua mganga ambae hana vipengele wala hana garama, ila ni mtaalam kweli kweli dondosha apa namba zake wadau waruke nazo. Hakikisha hana vipengele.
Huko mbele utatumia ID nyingine fake uweke namba yako ujifanye umetoa namba ya mganga!
 
Sasa ushawahi kuona wapi mtaalamu ana gharama nafuu? Acheni kuwachukulia poa waganga. Embu nenda CCBRT pale uone kuonana na dokta tu ni shilingi ngapi
 
Uwa wana profesional zao sema unataka mganga mtaalamu wa nini?

Kutoa mimba au kupata mimba
Kutoa majini au kutuma majini
Utajiri au kumtia mtu umasikini
Kuponya uchizi au kumtia mtu uchizi
Ulinzi na zenginezo
 
Back
Top Bottom