Mwenye namba ya mganga ambae sio tapeli. Na ambae hana garama za ovyo. Dondosha namba yake apa

Kama unamjua mganga ambae hana vipengele wala hana garama, ila ni mtaalam kweli kweli dondosha apa namba zake wadau waruke nazo. Hakikisha hana vipengele.
Nena vijijini na sio hapa mjini. Labda uvizie hao wanaoletwa na vigogo hapa mjini.
🀣🀣🀣🀣🀣 Kazi na dawa mzeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…