Mwenye neno lolote aniambie japo kupoza akili yangu

Why are you afraid of the future? Is that guaranteed?

Tafadhali, yajayo ambayo huyajui wala yasikuumize kichwa. Kwa sasa pambania lengo lako, maliza Shahada yako.

Kwa nini ufikirie utakosa cha kufanya? Kwa nini usifikirie kuwa Mungu atafungua mlango wa kheri na punde ukimaliza utafanikiwa?
Ukipata nafasi ya kuwaza, basi jiwazie yaliyo mema. Mawazo hasi kama hayo achana nayo.

Mawazo ya kwenda Afrika ya Kusini yaondoe akilini mwako. Maisha ya hapa yakikushinda, huko hutayaweza. Utaishia kuwa kibaka, muuza ndada na watakulamba risasi. Ukipata mtaji, walau kuna unafuu.

Soma kwa bidii kunawirisha cheti chako na yanayobaki muombe Mungu ayatayarishe. Anajua makubwa anayokuwazia.

Tamaa haikatwi kipumbavu hivyo
 
Akapake kucha akina Leejay49 ni rahisi na Haina mtaji mkubwa ila Hela ni Nene

Mimi nikikosaga Hela za kubetia huchukua kapu langu la rangi,nazama vijijini huku Tanganyika ambako hawanifahamu,nikipiga deiwaka ya jumamosi na jumapili sikosi 100k

Kupaka kucha 2k mpaka 3k

Kubandika kucha ni kati ya 5k mpaka 10k

Malala gesti safi,nakula Milo safi na utelezi napata bila kutongoza

Ikifika Jumatatu narudi zangu kushika chaki

Watu wengi hawana venye tunasema entrepreneurial skills kulingana na mazingira waliyopo! Mtaa una namna yake, hela ina njia zake & maisha yana namna yake

Sema we nae jasiri mi ningewadinya sana 🤣🤣nliwahi piga boda boda nyie wadada wana majaribu acheni tu
 
Akapake kucha akina Leejay49 ni rahisi na Haina mtaji mkubwa ila Hela ni Nene

Mimi nikikosaga Hela za kubetia huchukua kapu langu la rangi,nazama vijijini huku Tanganyika ambako hawanifahamu,nikipiga deiwaka ya jumamosi na jumapili sikosi 100k

Kupaka kucha 2k mpaka 3k

Kubandika kucha ni kati ya 5k mpaka 10k

Malala gesti safi,nakula Milo safi na utelezi napata bila kutongoza

Ikifika Jumatatu narudi zangu kushika chaki
Kumbe Leejay49 ni mdada!

😀😀
 
Hayo ni mambo ya wasomi,masikini yeye anajua kuchomeka tu kisha anasubiri miujiza.

😀
Wanatakiwa wajifunze

Wanajua kuchomekana lakini wanaokuja kupata tabu ni watoto kama hivi mleta mada ndio kwanza yuko chuo huku ana stress za kuendesha family yake,bado hajapatwa na stress za mtaani kukosa ajira akimaliza chuo
 
Why are you afraid of the future? Is that guaranteed?

Tafadhali, yajayo ambayo huyajui wala yasikuumize kichwa. Kwa sasa pambania lengo lako, maliza Shahada yako.

Kwa nini ufikirie utakosa cha kufanya? Kwa nini usifikirie kuwa Mungu atafungua mlango wa kheri na punde ukimaliza utafanikiwa?
Ukipata nafasi ya kuwaza, basi jiwazie yaliyo mema. Mawazo hasi kama hayo achana nayo.

Mawazo ya kwenda Afrika ya Kusini yaondoe akilini mwako. Maisha ya hapa yakikushinda, huko hutayaweza. Utaishia kuwa kibaka, muuza ndada na watakulamba risasi. Ukipata mtaji, walau kuna unafuu.

Soma kwa bidii kunawirisha cheti chako na yanayobaki muombe Mungu ayatayarishe. Anajua makubwa anayokuwazia.

Tamaa haikatwi kipumbavu hivyo
Tommorow is near!. Jamaa anaona namna system ilivyokaba. Anaona watu wanapitia ngoma ngumu isiyokifani na zamu yake yaja.
Cc. Wanagu wa sociology udsm

Huu si muda wa kucheka nao hata kidogo. Kama unaweza kuchukua risky yoyote chukua mana tuliomaliza chuo tumeyaona.

Wazo la kwemda south Africa mm pia nilikuwa nalo mwaka jana tu hapo. Vijana ni vulnerable group kama wazee au watoto.

Jamaa anakosea kufikiria mpka ndugu zake kuwa ni sehem ya destination y maisha yake. Hiyo ni familia ya baba ake.. hapaswi kuiwazia Kwa sasa.
 
Back
Top Bottom