Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Aangalie asije akapakatwa na shida za DuniaNi idea nzuri,, tatizo hawa vijana wa sikuizi wakishakuaga na degree tu hivyo vitu wanaona sio level zao...na ofcourse biashara ya kucha inalipa kama yupo mjini
Coz starehe kubwa ya watu masikini ni ngono.Sijui kwanini masikini wanapenda kuzaa watoto wengi...watoto 9!!
Pole,pambana
Ni kweli,,, angekua wakike ningemshauri kitu...au basi ππAangalie asije akapakatwa na shida za Dunia
Maisha ya sasa nikujiongeza
Aaahaaa,au kama vipi afuate ushauri wa Mpwayungu VillageNi kweli,,, angekua wakike ningemshauri kitu...au basi ππ
KwakweliAaahaaa,au kama vipi afuate ushauri wa Mpwayungu Village
mbona umemwazia negative sana.Kua makini usije ukatuchapia watoto wetu huko shule na stress zakoπ,,,,
Ila pambana tu usikate tamaa hamna maisha marahisiπ
Akapake kucha akina Leejay49 ni rahisi na Haina mtaji mkubwa ila Hela ni Nene
Mimi nikikosaga Hela za kubetia huchukua kapu langu la rangi,nazama vijijini huku Tanganyika ambako hawanifahamu,nikipiga deiwaka ya jumamosi na jumapili sikosi 100k
Kupaka kucha 2k mpaka 3k
Kubandika kucha ni kati ya 5k mpaka 10k
Malala gesti safi,nakula Milo safi na utelezi napata bila kutongoza
Ikifika Jumatatu narudi zangu kushika chaki
wanafunzi wanapigwa sana mashuleni sikuizi,,, ukifatilia kiundani zaidi utaona shida ni mwalimu na stress zake anahamishia kwa watoto bila sababu..ndomana nimemtahadharisha tu hapombona umemwazia negative sana.
Coz starehe kubwa ya watu masikini ni ngono.
Sasa si watumie birth control....huna uwezo halafu unapata watoto 9!Ngono ndo Faraja ya maskini
Kumbe Leejay49 ni mdada!Akapake kucha akina Leejay49 ni rahisi na Haina mtaji mkubwa ila Hela ni Nene
Mimi nikikosaga Hela za kubetia huchukua kapu langu la rangi,nazama vijijini huku Tanganyika ambako hawanifahamu,nikipiga deiwaka ya jumamosi na jumapili sikosi 100k
Kupaka kucha 2k mpaka 3k
Kubandika kucha ni kati ya 5k mpaka 10k
Malala gesti safi,nakula Milo safi na utelezi napata bila kutongoza
Ikifika Jumatatu narudi zangu kushika chaki
Hayo ni mambo ya wasomi,masikini yeye anajua kuchomeka tu kisha anasubiri miujiza.Sasa si watumie birth control....huna uwezo halafu unapata watoto 9!
Bongo pagumu sanaaaa Tena uhKama suala ni kujaribu bahati Yako, kwanini usiijaribie hapa?
Maskini ana mawzo watoto mali, wakijua watamsaidiaSijui kwanini masikini wanapenda kuzaa watoto wengi...watoto 9!!
Pole,pambana
Wanatakiwa wajifunzeHayo ni mambo ya wasomi,masikini yeye anajua kuchomeka tu kisha anasubiri miujiza.
π
Tommorow is near!. Jamaa anaona namna system ilivyokaba. Anaona watu wanapitia ngoma ngumu isiyokifani na zamu yake yaja.Why are you afraid of the future? Is that guaranteed?
Tafadhali, yajayo ambayo huyajui wala yasikuumize kichwa. Kwa sasa pambania lengo lako, maliza Shahada yako.
Kwa nini ufikirie utakosa cha kufanya? Kwa nini usifikirie kuwa Mungu atafungua mlango wa kheri na punde ukimaliza utafanikiwa?
Ukipata nafasi ya kuwaza, basi jiwazie yaliyo mema. Mawazo hasi kama hayo achana nayo.
Mawazo ya kwenda Afrika ya Kusini yaondoe akilini mwako. Maisha ya hapa yakikushinda, huko hutayaweza. Utaishia kuwa kibaka, muuza ndada na watakulamba risasi. Ukipata mtaji, walau kuna unafuu.
Soma kwa bidii kunawirisha cheti chako na yanayobaki muombe Mungu ayatayarishe. Anajua makubwa anayokuwazia.
Tamaa haikatwi kipumbavu hivyo
Aisee ππ,, usiniambie ulikua unajua ni mkaka...Am a girl and proud ππ€
Maskini ana mawzo watoto mali, wakijua watamsaidia