raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Maana kesho kutwa atakuja na jambo lingine atataka wanywe mikojo kumpata mbaya wakeTuanzie hapa kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana kesho kutwa atakuja na jambo lingine atataka wanywe mikojo kumpata mbaya wakeTuanzie hapa kwanza
Mkuu haya mambo yapo uswahilini dar,Maana kesho kutwa atakuja na jambo lingine atataka wanywe mikojo kumpata mbaya wake
Alie kwambia washirikina wapo uswazi tu nani.... Kuna nyumba nilikaa uzunguni Dom... Fence tu imepakana na nyumba moja ya muhimili, upande mwingine taasisi kubwa tu na upande wa pili wa barabara hao hao watumia vingora wakienda kazini...... lakini hiyo nyumba kwa ushirikina mwenye nyumba alikuwa kinara..... Mara aoge uchi mchana,mara usiku wazunguke kumwaga dawa, mara waje kumwaga maji kwenye nyumba sijui ndo dawa!!!!!Madhara ya kupanga uswahilini.
Ni kwali mkuu huwa wana mambo ya ajabu sana.Nyumba za kupanga kienyeji mtihani. Panga kwenye nyumba ambazo mwenye nazo kaamua kuipanga kibiashara kama apartments vile.. ila hizi yeye anaishi na wewe unaishi mtatibuana tu
Kama mtu unataka kupanga, Panga kwenye nyumba za biashawa za apartment. Ila sio nyumba za mtaani huko..Ni kwali mkuu huwa wana mambo ya ajabu sana.
Madam kuoga uchi, kumwaga dawa sisi haituhusu kama nyumba YAKO, tunachokataa ni KULAMBA UNGA. Chuo tulikaa na mmama huyo mwenye nyumba yule mama hata awaone mnafanya mapenzi uwani hawasemeshi ILA kodi YAKe ikifika msitafutane😑😑 tunakaataa KULAMBA UNGAAlie kwambia washirikina wapo uswazi tu nani.... Kuna nyumba nilikaa uzunguni Dom... Fence tu imepakana na nyumba moja ya muhimili, upande mwingine taasisi kubwa tu na upande wa pili wa barabara hao hao watumia vingora wakienda kazini...... lakini hiyo nyumba kwa ushirikina mwenye nyumba alikuwa kinara..... Mara aoge uchi mchana,mara usiku wazunguke kumwaga dawa, mara waje kumwaga maji kwenye nyumba sijui ndo dawa!!!!!
Kikubwa usilambe...utajiingiza kwenye maagano yao... kama yeye mganga kweli aonyeshe.
Sema nyumba zenye changamoto kama hizo huwa zinakupa presha ya kujenga mimi niliamia kwenye banda langu bila madilisha kwa hasira ya visa vya wenye nyumba zao😁😁Kama mtu unataka kupanga, Panga kwenye nyumba za biashawa za apartment. Ila sio nyumba za mtaani huko..
Hongera sana rafiki, uzuri wewe akili unazo za kutosha.. wengine wanapitia hizo changamoto ila wanakuwa wazito kufanya maamuzi.. Bora ukae kwako hata kama hakuna mlango ila kwako.. Hapo umemaliza labda uje kuwa mnoko kwa wapangaji wako kama utapangisha ,🤣🤣🤣Sema nyumba zenye changamoto kama hizo huwa zinakupa presha ya kujenga mimi niliamia kwenye banda langu bila madilisha kwa hasira ya visa vya wenye nyumba zao😁😁
Usilambe huo UNGA utakuwa TEJA shaulilo😉😉Habarini ndugu wanaJF,
Baba mwenye nyumba amemleta mganga kutoka kusini huko anadai kwenye nyumba yake kuna mtu anamchezea (mambo ya kichawi), sasa anatulazimisha tulambe ungaunga mweupe nimesikia wanauita 'usembe' ili kumbaini mchawi kwenye nyumba yake.
Binafsi nilikataa kulamba vitu visivyoeleweka na sina hizo imani, ila alinichimba mkwala hadi jtano nimpe jibu nikishindwa nihame kwake.
Dhumuni la kuleta hili jambo kwenu mnipe ushauri wa kufanya sababu alinipa siku tatu ambayo ya mwisho ndio leo na hapa nipo job nafikiria nikirudi home nimpe jibu gani.
Kwa kuongezea tumebaki wapangaji wawili ambao tumekataa kulamba hayo madude yake.
Je, yana madhara yoyote kiafya wataalam wa mambo?
Limbwata Hilo,..Shtuka usilambe,..utajikuta mshahara wako wote unaishia kwake😁Habarini ndugu wanaJF,