Mwenye penzi la siri kumbe alikuwa na mchumba wake?

Mwenye penzi la siri kumbe alikuwa na mchumba wake?

Hakuna jipya la kushangaza hapo. Wanawake malaya wamekuwepo tangu enzi.
Izo enzi mwanamke malaya alikua haolewi yaan wanajulikana kabisa kibaya hawa wasiku hizi wanataka umalaya na ndoa🤥🤥
 
Basi usilielie
Mi silii niloshatendwa yaan hata aje sister wa parish aseme nimuoe mi sitompenda kumwamini kwanza sina mwanamke mmoja mm kila siku naongeza na kuacha maana nshashtukia michexo yenu
 
Kinachowakwamisha wanawake ni tamaa. Ulichosema sahihi kabisa, unaweza kuhudumia halafu kuna msela anakula bure.
Nshahudumia saana nikala za uso fala mmoja akawa anapewa bure sasa ni mwendo wa kuchakata bure bure pesa nahudumia watoto wangu
 
Kinachowakwamisha wanawake ni tamaa. Ulichosema sahihi kabisa, unaweza kuhudumia halafu kuna msela anakula bure.
Huyu aliniambia anaskia nilikuaga na hela balaa mara oghh utanifundisha kuendesha gari... nikagundua kumbe ni mtu wa tamaa huyu nikaa mguu pande..... tamaa za kipumbuvu kabisa
 
Tatizo mnapenda vya bure🙄 mwanamke huduma,sasa nyie kaz yenu ni kumwaga mbegu tu kutuchafua huku mkija kujisifu huku eti nimepata mchumba asiyeniomba hela☹️ jiongezeni bhana ....hakuna mwanamke asiyehitaji huduma mkuu
Aisee umeongea kwa uchungu sana.
Dah alafu mbona unatusimangabkuwa tunawachafua tuu...mwa hiyo unasema kiwa hatujui kiwapelekea moto mbususu zenu?
Jinsi unavyojiweka ndio jinsi mwanaume anavyo kutreat...pole sana
 
Ebu tupe ujanja unaotumia kaka
Jiweke smart alafu ukiwa nae ongelea mipingo ya pesa mingi mingi ukipigiwa simu jifanye unazungumzia biashara za pesa mingi mingi alafu jifanye kwa kipindi icho pesa au mzigo umekwama unaufuatilia.... Nikitoka hapo namwambia hio pesa ikiingia utakula maisha hatari, sema ni promise hutolemaa kwenye rahaa🤣🤣🤣utamsikia hapana mi siko ivo mi ni wa hali zote.... Basi hapo kweshney kabisa
 
Aisee umeongea kwa uchungu sana.
Dah alafu mbona unatusimangabkuwa tunawachafua tuu...mwa hiyo unasema kiwa hatujui kiwapelekea moto mbususu zenu?
Jinsi unavyojiweka ndio jinsi mwanaume anavyo kutreat...pole sana
Mzee mi nachafua mpaka Magodoro yao nikitoka apo wanafua mashuka na kuanika Magodoro yao nje... Kazi kazi mzee anasahau atakuomba hela
 
Shida yenu ni tamaa wala siyo kuhudumia. Unaweza kumhudumia ila kuna kijana jirani anajua kuvaa na kujipulizia perfume. Anajipeleka anagongwa.
Wanaume hatujazaliwa na hela, tunatafuta kwa tabu sana.
Mwanamke huwa haliridhiki 100%.
Ni rahisi sana kula mke wa mtu kuliko mwanamke ambaye hajaolewa.
Tatizo mnapenda vya bure🙄 mwanamke huduma,sasa nyie kaz yenu ni kumwaga mbegu tu kutuchafua huku mkija kujisifu huku eti nimepata mchumba asiyeniomba hela☹️ jiongezeni bhana ....hakuna mwanamke asiyehitaji huduma mkuu
 
Shida yenu ni tamaa wala siyo kuhudumia. Unaweza kumhudumia ila kuna kijana jirani anajua kuvaa na kujipulizia perfume. Anajipeleka anagongwa.
Wanaume hatujazaliwa na hela, tunatafuta kwa tabu sana.
Mwanamke huwa haliridhiki 100%.
Ni rahisi sana kula mke wa mtu kuliko mwanamke ambaye hajaolewa.
Mtusamehe bure
 
Back
Top Bottom