Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
- Thread starter
- #61
Ni kweli nami icho kitu kinanisumbua saana wabongo ni waongo saanaKuishi ndani ya mahusiano kungekua sio changamoto na kusivuruge akili baina ya wapenzi kama kila mmoja angeamua kusema ukweli juu ya mwenzake, kama ni upendo wa matamanio au nyege we sema.
Tatizo siku hizi mahusiano kila mmoja anajaribu kuonesha tabia zitakazo mvuta mwenzake ata kwa kusema uwongo ili afikie lengo lake.