Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
- Thread starter
-
- #61
Ni kweli nami icho kitu kinanisumbua saana wabongo ni waongo saanaKuishi ndani ya mahusiano kungekua sio changamoto na kusivuruge akili baina ya wapenzi kama kila mmoja angeamua kusema ukweli juu ya mwenzake, kama ni upendo wa matamanio au nyege we sema.
Tatizo siku hizi mahusiano kila mmoja anajaribu kuonesha tabia zitakazo mvuta mwenzake ata kwa kusema uwongo ili afikie lengo lake.
Naona we yamekunyookea shekheeePole sana... Mambo yao waachie wenyewe...
Sina tatizo...Naona we yamekunyookea shekheee
😂😂😂😂anafukuzia ile miuno yake pendwaAnafukuzia zaga ....Ivo inabidi niende nae taratibu
Hebu kwanza🤔🤔umenambia umeskia ni mzuri na hapa unadecribe confidentlly kwamba ni tallWala mzee mie nimekupa bonge la mke. Yaani hapo wewe ushindwe mwenyewe. Mtoto tall, yaani kaenda hewani alafu sii unajua tena hawa matolu walivyo wakarimu na wenye kunyeyeyka waume zao. Uzuri zaidi anapenda minyanduano...yaani kama kusoma story yake tuu unadi disha ebu vuta picha ndio upo nae faragha itakuwaje....unaweza kojowa ubungo
Kasema mwenyewe kuwa yeye ni tall beautiful lady looking for a husband...kazi kwakoHebu kwanza🤔🤔umenambia umeskia ni mzuri na hapa unadecribe confidentlly kwamba ni tall
Unamjua?
Kwa raha zako mzeeSina tatizo...
Alisema umri wake?Kasema mwenyewe kuwa yeye ni tall beautiful lady looking for a husband...kazi kwako
Umri sijui...wee muulize. Ni mwanamke muelewa sana.Alisema umri wake?
Wanawake waliotulia wapo sana inategemea n ntu na ntuWajuba wasalaam!!!
hakika mapenzi yamejaa maajabu (japo si mageni kwa wengine) sijui labda niliwahi kuoa kabala ya kuwafahamu hawa viumbe?? (expirence)....
Ntu na ntu kweli lakin sio zama iziWanawake waliotulia wapo sana inategemea n ntu na ntu