Hahahah!!!
Nahisi ni wewe mkuu ulikuja hapa last time...
Last time nilikuambia kuwa wewe mwanaume hiyo ndoa yako umesingiziwa, huna stamina ya kuitwa mume...
Ona sasa unataka kumuacha mkeo, na bila shaka kisa ni ile habari ya hati ya kiwanja kuandikwa jina la mkeo...
Haya muache tu, wakati wewe wamuona wa kazi gani wengine wamuona malkia na wammendea kweli.
nashukuru kaka kwa kuwa concerned na kuwa na kumbu kumbu nadhani sio kila mwanume anafaa kuitwa mume mi nafikiri nimechemsha tatizo langu ni upole if you remember that post nilisema kuna mengi ila nilikuja na lile nikamwelewesha kwa upole alichonijibu ni siri yangu,imagine tangu nimeoa nimekonda badala ya kunenepa kwa sababu hapiki anamuachia dada mimi hupenda kula chakula kizuri sasa dada sio mpishi mahiri,hajawahi hata kupika chai,sio mjuzi wa kupika na hataki kujifunza
2.tendo la ndoa miezi minne sasa sijapata
3.akitoka kwenda misele haagi
4.hajawahi kunifulia au kupiga pasi japo mara moja
5.hasafishi chumba cha kulala
6.simu zake zina password
7.siri za ndani anatoa nje kwa majirani na kwa ndugu zake
8.ana mawasiliano na jamaa ambaye tuliwahi kugombea mwanamke kabla hatujaoa
9.maji ya kuoga hajawahi kutenga hata siku moja
10.akipewa kitu na mwanamme ananionyesha na kuniambia waziwazi
11.haendi kwenye nyumba za ibada
12.usafi wa nyumba hauridhishi
13.ana majibu makali yanayoweza kukufanya ukazimia
14.marafiki zake wote ndoa zimewashinda
mengine nitaongezea baadae ngoja nikumbuke