Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani naomba mwenye sample ya talaka humu ndani anipostie nataka kufanya maamuzi magumu kidogo
jamani naomba mwenye sample ya talaka humu ndani anipostie nataka kufanya maamuzi magumu kidogo
Talaka sio lazima kuandika ata kutamka tu inafaa
problem solved
kugawana ,mi namuachia kila kitu ntabeba nguo zangu tummh.. inverse na sheria za ndoa mkuu,
sasa mlionaje? kimila au kiserikali ama kikanisani?
nowadays mkiachana tu, lazima mgawane umate mate mliotafuta wote.... otherwise uliishi na kimada ndani!
jamani naomba mwenye sample ya talaka humu ndani anipostie nataka kufanya maamuzi magumu kidogo
nashukuru kaka kwa kuwa concerned na kuwa na kumbu kumbu nadhani sio kila mwanume anafaa kuitwa mume mi nafikiri nimechemsha tatizo langu ni upole if you remember that post nilisema kuna mengi ila nilikuja na lile nikamwelewesha kwa upole alichonijibu ni siri yangu,imagine tangu nimeoa nimekonda badala ya kunenepa kwa sababu hapiki anamuachia dada mimi hupenda kula chakula kizuri sasa dada sio mpishi mahiri,hajawahi hata kupika chai,sio mjuzi wa kupika na hataki kujifunzaHahahah!!!
Nahisi ni wewe mkuu ulikuja hapa last time...
Last time nilikuambia kuwa wewe mwanaume hiyo ndoa yako umesingiziwa, huna stamina ya kuitwa mume...
Ona sasa unataka kumuacha mkeo, na bila shaka kisa ni ile habari ya hati ya kiwanja kuandikwa jina la mkeo...
Haya muache tu, wakati wewe wamuona wa kazi gani wengine wamuona malkia na wammendea kweli.