Mwenye taarifa yoyote ya ajali ya gari maeneo ya Iringa, awasilishe

Mwenye taarifa yoyote ya ajali ya gari maeneo ya Iringa, awasilishe

Mimi nasoma tu ila comment yako nimeisoma kiundani.
Haya mambo yanamkuta mtu yoyote katika wakati wowote.
Hakuna mwenye miadi na Mungu juu ya ujio wa kifo au msiba katika familia yake.
 
Wakuu poleni na majukumu, Kuna ajali ya gari ndogo nasikia imetokea maeneo ya Iringa, mwenye taarifa kamili atujuze.

Dah, nimepata taarifa juu juu, Kuna ndugu yangu amesafiri, simpati kwenye simu
Inna lillahi wainna ilayhi rajiuun

Pole mkuu ndo Maisha yalivyo hakuna la zaidi ila kumuomba Allah akupeni subra katika kipindi hichi kigumu
( الَّذِينَ إِذَا أَصَابَتْهُم مُّصِيبَةٌ قَالُوا إِنَّا لِلَّهِ وَإِنَّا إِلَيْهِ رَاجِعُونَ )

البقرة (156) Al-Baqara

Wale ambao ukiwasibu msiba husema: Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye hakika tutarejea.

( أُولَٰئِكَ عَلَيْهِمْ صَلَوَاتٌ مِّن رَّبِّهِمْ وَرَحْمَةٌ ۖ وَأُولَٰئِكَ هُمُ الْمُهْتَدُونَ )

البقرة (157) Al-Baqara

Hao juu yao zitakuwa baraka zitokazo kwa Mola wao Mlezi na rehema. Nao ndio wenye kuongoka.
 
Ka utani hivi lakini ndo hivo kifo cha ajali ni afadhali cha ugonjwa
 
Back
Top Bottom