Hakuna mradi ambao ujenzi umesimama.miradi haijakamilika lakini ujenzi unaendelea. Niko mita 100 eneo la mradi SGR.ni suala la muda tu.kila kitu kitakamilika. Na nyinyi mjenge makao makuu ya chama..tutawachangia kama tulivyowachangia viongozi wenu wakiwa mahabusu.Jikite kwenye hoja.
Jikite kwenye hoja.
Basi tunaomba comments ziwe fupi fupi tafadhali😀Mambo ni mengi sana muda hautoshi.
Roho kama hizi hazitawafikisha popote.Hivi waziri mwenye dhamana ameshindwa nini kuwazuia wale wote wanaoikandia ATCL kupata huduma kwenye ndege zetu? Tufike mahali jino liwe kwa jino. Zito na genge lake la wahuni wasipate hudumu kwenye ndege zetu. Wao wana pesa kutoka kwa shangazi zao wawakodishie private jets.
Mbona hujajibu mkuuUkisikia usije ukasema taarifa za uongo maana nyie BAVICHA hamtaki kusikia ukweli hasa wa miradi mikubwa. Ni suala la muda kabla ya kuukimbia uzi wako
Biashara haiko hivyo ukisusa mteja mwenzako anafaidika.Hivi waziri mwenye dhamana ameshindwa nini kuwazuia wale wote wanaoikandia ATCL kupata huduma kwenye ndege zetu? Tufike mahali jino liwe kwa jino. Zito na genge lake la wahuni wasipate hudumu kwenye ndege zetu. Wao wana pesa kutoka kwa shangazi zao wawakodishie private jets.
Chini ya Magu hakuna kitakachofanikiwa hata kwa 50% mpaka anaondoka madarakani, kila kitu anadonoa donoa tu. Sifa zinamponza.
Roho kama hizi hazitawafikisha popote.
Chini ya Magu hakuna kitakachofanikiwa hata kwa 50% mpaka anaondoka madarakani, kila kitu anadonoa donoa tu. Sifa zinamponza.
Hizo pesa za kununua hayo madege mlipewa na wazee wenu au?Hivi waziri mwenye dhamana ameshindwa nini kuwazuia wale wote wanaoikandia ATCL kupata huduma kwenye ndege zetu? Tufike mahali jino liwe kwa jino. Zito na genge lake la wahuni wasipate hudumu kwenye ndege zetu. Wao wana pesa kutoka kwa shangazi zao wawakodishie private jets.
Hizo pesa za kununua hayo madege mlipewa na wazee wenu au?
Hizo pesa za kununua hayo madege mlipewa na baba zenu au?Mbona Che Nkapa na JK walishindwa kununua hata ndege moja ihali walizikuta alizoacha Baba wa taifa karibu 10? Hilo hamlioni kwa sababu ya makengeza.
Leta evidence ni asilimia ngapi?? Maneno matupu unapoteza muda.Muda ndio utasema, hivi sasa hospitali nyingi kuanzia ngazi ya wilaya zinafanya kazi kwa ufanisi zaidi na dawa pamoja na vifaa vinapatikana sasa hiyo ni asilimia ngapi kwa mawazo yako? Barabara nyingi ni za lami na zinaendelea kujengwa sijui ni asilimia ngapi kwa mawazo yako?
BTW Tanzania tulikuwa tunajulikana tuna 3000km of tarmark roads countrywide. Je, unafahamu sasa hivi tunazo ngapi?