Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie. Mbona kama mbwembwe zimepungua? Tunakwama wapi?

Jikite kwenye hoja.
Hakuna mradi ambao ujenzi umesimama.miradi haijakamilika lakini ujenzi unaendelea. Niko mita 100 eneo la mradi SGR.ni suala la muda tu.kila kitu kitakamilika. Na nyinyi mjenge makao makuu ya chama..tutawachangia kama tulivyowachangia viongozi wenu wakiwa mahabusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa habari ya SGR:

Ukipita Pale TRC stesheni kazi zote zimesimama, Kuna mataruma yametelekezwa chini ya hilo daraja wamelijenga tangu December hayajapandishwa mitambo yote imeondolewa

Taarifa ni kwamba Kampuni mshirika ya Motor Engil Africa ya Kireno imejitoa kwenye mradi🤷‍♂️
 
Hivi waziri mwenye dhamana ameshindwa nini kuwazuia wale wote wanaoikandia ATCL kupata huduma kwenye ndege zetu? Tufike mahali jino liwe kwa jino. Zito na genge lake la wahuni wasipate hudumu kwenye ndege zetu. Wao wana pesa kutoka kwa shangazi zao wawakodishie private jets.
 
Roho kama hizi hazitawafikisha popote.
 
Hivi waziri mwenye dhamana ameshindwa nini kuwazuia wale wote wanaoikandia ATCL kupata huduma kwenye ndege zetu? Tufike mahali jino liwe kwa jino. Zito na genge lake la wahuni wasipate hudumu kwenye ndege zetu. Wao wana pesa kutoka kwa shangazi zao wawakodishie private jets.
Biashara haiko hivyo ukisusa mteja mwenzako anafaidika.
 
Chini ya Magu hakuna kitakachofanikiwa hata kwa 50% mpaka anaondoka madarakani, kila kitu anadonoa donoa tu. Sifa zinamponza.

Muda ndio utasema, hivi sasa hospitali nyingi kuanzia ngazi ya wilaya zinafanya kazi kwa ufanisi zaidi na dawa pamoja na vifaa vinapatikana sasa hiyo ni asilimia ngapi kwa mawazo yako? Barabara nyingi ni za lami na zinaendelea kujengwa sijui ni asilimia ngapi kwa mawazo yako?

BTW Tanzania tulikuwa tunajulikana tuna 3000km of tarmark roads countrywide. Je, unafahamu sasa hivi tunazo ngapi?
 
Hivi waziri mwenye dhamana ameshindwa nini kuwazuia wale wote wanaoikandia ATCL kupata huduma kwenye ndege zetu? Tufike mahali jino liwe kwa jino. Zito na genge lake la wahuni wasipate hudumu kwenye ndege zetu. Wao wana pesa kutoka kwa shangazi zao wawakodishie private jets.
Hizo pesa za kununua hayo madege mlipewa na wazee wenu au?
 
Mbona Che Nkapa na JK walishindwa kununua hata ndege moja ihali walizikuta alizoacha Baba wa taifa karibu 10? Hilo hamlioni kwa sababu ya makengeza.
 
Hizo pesa za kununua hayo madege mlipewa na baba zenu au?
 
Hilo bomba mpaka sasa litapitishwa kenya nasikia kuna wakaguzi walipitia huko litakako pita ikaonekana likipita kwetu ni garama sana kuliko Kenya Quinine,
 
Muda ndio utasema, hivi sasa hospitali nyingi kuanzia ngazi ya wilaya zinafanya kazi kwa ufanisi zaidi na dawa pamoja na vifaa vinapatikana sasa hiyo ni asilimia ngapi kwa mawazo yako? Barabara nyingi ni za lami na zinaendelea kujengwa sijui ni asilimia ngapi kwa mawazo yako?

BTW Tanzania tulikuwa tunajulikana tuna 3000km of tarmark roads countrywide. Je, unafahamu sasa hivi tunazo ngapi?
Leta evidence ni asilimia ngapi?? Maneno matupu unapoteza muda.
 
Back
Top Bottom