Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie. Mbona kama mbwembwe zimepungua? Tunakwama wapi?

acha uongo hospital ukienda unapewa Panadol 2 zingine kanunue,barabara zinasua sua hatar eg chunya mpaka makongolosi km 40 mwaka wa 4 Sasa hakun kitu mkandarasi amesusa site hakuna pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro we ni mchochezi! Nimecheka sana, nina kakampuni kangu nilitegemea bomba la mafuta lingenipa kandarasi za kutosha, maana tuliishaaminishwa hivyo!
Politics bwana hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 


JF expert member, kazi tunayo sio ndogo.
 
March 22, 2020
Rufiji, Pwani
Tanzania

Barabara iendayo mradi wa umeme Stiegler's Gorge
Mbunge wa Rufiji mkoani Pwani Mh. Mohamed Mchengerwa akielezea hali ya barabara jimboni kwake kama ilivyo katika video inayotoka Kibiti kwena Ikwiriri, Mkongo, Ngororo, Mloka mpaka katika mradi mkubwa wa umeme wa Julius Nyerere HydroPower Project ilivyo na kukwamisha uwezekano wa ndoto ya nchi mradi kukamilika ktk muda uliopangwa:


Source : Millard ayo
 
Michaelmakene Mtanzania yeyote makini anawachukulia ninyi kama watu wasiojua kinachoendelea nchini. Umeshindwa kuangalia Reli TV ukajua kinachoendelea? Siku treni ya kwanza ikianza kufanya kazi sijui mtasema nini.
Siku ikianza? huna uhakika lini itaanza.
 
Huko Nyerere hydro electr nasikia maji yametoroka,mafuriko ni makubwa.

SGR sio muda itakamilika mkuu. Tutawasema sana nyie mnaobeza. Ngoja siku ifike.

Dodoma tayar,dar ni kama nyumba ndogo huwezi itelekeza.

Midege si unasikia habar ya corona,unataka ibebe nini na iende wapi.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
March 21, 2020
Lupa, Chunya
Tanzania

DC Chunya asimamia ukarabati daraja mto Lupa"Mawasiliano yakatika kwa siku mbili"


Source: MbeyaYetuOnlineTV
 
March 22, 2020
Lupa, Chunya



Source : MbeyaYetuOnlineTV
 
MAGATA kwishney kabisa!! TANTALILA zote KWISHA hakuna STEGOLAZ wala ESIJIARA.
 
Kwani kabla walitumia usafiri gani?watanzania wengi hatuzijui Wala hatuna umuhimu Naoi.visambaza korona
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali yako ni Sawa na mtu ambaye mlikuwa naye kwenye mipango fulani fulani hivi, halafu akajiona anakili nyingi kuliko mwenzake akaamua kujiondoa ili aone kama mwenziwe ataweza kuisukuma hiyo mipango

Cha ajabu kila ukiulizia kwamba vipi Yule jamaa anaendele??? Watu, Ndiyo anaendelea vizuri tu mbona!!!

Inauma hiyo!!!! Mmmmh!!!!
 
Unataka kusema bomba la Hoima-Tanga linaendelea vizuri, limefikia asilimia ngapi.
 
Unataka kusema bomba la Hoima-Tanga linaendelea vizuri, limefikia asilimia ngapi.
Mkuu, kitendo tu cha kuuliza maendeleo ya mipango uliyomsusia mwenzio kisa uone kama atafanya, ni ushindi Kwa uliyemsusia
 
Nimependa uandishi wako namna unavyofikisha ujumbe. Ndiye huyu anayedaiwa kuwa eti amefanya mambo mengi kuliko watangulizi wote 4. Watu wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa naye anakubali. Ataendelea kufeli big time
 
Hilo ndilo lengo langu, kama una habari ya SGR Dar to Moro kuanza nijulishe nikakate tiketi.
SGR Dar- Moro kwa taarifa zao iko 75%. Lakini kwa vile awamu ya tano ni mabingwa wa kuchakachua takwimu, waweza kukuta iko 40%. Tuendelee kula mtori, nyama ziko chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…