Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie. Mbona kama mbwembwe zimepungua? Tunakwama wapi?


Usitake kutoa hitimisho la upotoshaji. Sina popote niliposema hamna kitu, nilichosomea sifa zinazowekwa haziendani na ukweli halisi.

Hiyo ya kusema kuwa 2015 tulisema tutalipigia kura jiwe, ni mimi na nani? Kwani huyu aliyeko madarakani sasa aliingia madarakani kwa kura yangu? Hata hivyo hayo maneno unayosema ni yetu ni lazima yatokee kama walivyosema, isitoshe ni kwa tume ipi mpaka uje na hitimisho hilo? Nani ataingia madarakani inategemea kama tume huru ya uchaguzi itapatikana. Nina hakika yoyote atakayeingia kutokana na tume huru atakuwa mshindi halali.
 
Mkuu, Iko hivi,Watanzania tukishindwa, Pia Raisi kashindwa,Raisi akishindwa Tanzania imeshindwa, Endelea kulipa Kodi ili tusishindwe, hii ni Kwa maraisi wote wajao hata akitokea upinzani, Tanzania ni yetu sote
 
Mkuu, Iko hivi,Watanzania tukishindwa, Pia Raisi kashindwa,Raisi akishindwa Tanzania imeshindwa, Endelea kulipa Kodi ili tusishindwe, hii ni Kwa maraisi wote wajao hata akitokea upinzani, Tanzania ni yetu sote

Mkuu acha upotoshaji, hiyo miradi ikifanikiwa ni Magufuli na ccm wamefanikiwa, lakini wakishindwa ni watanzania tumeshindwa!
 
Ukisema hivyo mkuu utakuwa unaidhurumu nafs yako mkuu, maana Miradi yote inayofanywa, kunakodi zako pia, Wakati wewe ni mpinzani
Mkuu acha upotoshaji, hiyo miradi ikifanikiwa ni Magufuli na ccm wamefanikiwa, lakini wakishindwa ni watanzania tumeshindwa!
 
Hiyo miradi lazima tu ikwame kwani ilikuwa ikitegemea kujengwa kwa pesa za kukopa ila inakuwa vigumu kupata mikopo hiyo kwa sababu wazungu wanaingilia isipeanwe kwa sababu mbali mbali za kisiasa.

Serikali hii haina namna lazima iombe poo na itekeleze yale wanayotaka mataifa makubwa ambao hata hivyo kwa sababu kadhaa hawaridhii utekelezwaji wa hiyo miradi.
 
Hakuna hospitali inayotoa Panadol FYI.
Kwenye dawa usidanganye watu kabisa. Hospitali na vituo vya afya vya umma havina dawa kabisa. Ila mumekaririshwa kama ma-robot kusema kuwa bajeti ya dawa imeongezeka na munajenga vituo. Complete lies and rubbish
 
Mkuu, ndege zimenunuliwa na hela ya watanzania wote including Zitto et al. Hakuna mtu wala sheria inayoweza kumzuia kupanda!
 
 
haaa labda lumumba hospital ,najua unafahamu kwamba mambo ni as usual hakuna dawa ni kwenda kununua kwenye maduka na juzi tu wananchi wa Tabora walikuwa wanamlalamikia mkuu wa mkoa kwa ishu hiyo hiyo,nyie mnaongea sisi wa huku down ndo tunajua.Niulize kuna elimu bure?
 
Hakuna aliyesema mradi umesimama ila kwa mujibu wa kebehi zenu sgr ilikuwa ifike Moro Nov 2019. Mmekwama wapi tuwachangie? Au corona imewakamata?

Hapo moro tu mmepitiliza muda sasa Dodoma si mtafika 2040.
Mbaya zaidi hadi sasa ukichukua pesa iliyotumika plus mkopo wa juzi ni trilion 2.6 ambayo haijamaliza segment yoyote,sipati picha gharama zitakavyokuwa kubwa
 
Hii sgr Magu ahakikishe inaisha kabla hajasepa maana ni tembo mweupe mwenye zero profit ,hata kama ataingia ccm mpya siamini kama ataendelea kuweka pesa kwenye mradi hewa wa sifa usio na faida kiuchumi na ulio expensive kuujenga na kuuendesha/maintanance yake
 
Mimi Haya MACCM yaliweza kunidanganya tu kwenye GAS maana uko niliaminishwa kwamba sasa mambo yatakuwa mazuri ila sasa sidanganywi tena na haya MACCM....'' I hate them''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…