Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Wapuuzi Endeleeni Kupiga zogo
Kazi ikiendekea
Fika Sehemu husika
Utaona
Sehemu husika ipi, yeye sio mkandarasi anahitaji huduma iliyokuwa ikisifiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapuuzi Endeleeni Kupiga zogo
Kazi ikiendekea
Fika Sehemu husika
Utaona
Kwa hiyo unatakaje? Nenda site! Mambo ni moto huko.
Una uwezo kama ccm mkuuHivi waziri mwenye dhamana ameshindwa nini kuwazuia wale wote wanaoikandia ATCL kupata huduma kwenye ndege zetu? Tufike mahali jino liwe kwa jino. Zito na genge lake la wahuni wasipate hudumu kwenye ndege zetu. Wao wana pesa kutoka kwa shangazi zao wawakodishie private jets.
Kwani huyo NKapa na JK walikuwa chama gani na jiwe ni chama gani?Mbona Che Nkapa na JK walishindwa kununua hata ndege moja ihali walizikuta alizoacha Baba wa taifa karibu 10? Hilo hamlioni kwa sababu ya makengeza.
Nenda site.
''Mvua za rasha rasha tu hizo, masika bado.''
CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO
Chadema at work,WATANZANIA na dunia nzima tuko busy na corona ila nyinyi mko busy na saccos ya wavamia magereza!
Tangu lini DJ akaweza kuongoza busara ya wavuta bhange kama kina mdee?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Che Nkapa na JK walishindwa kununua hata ndege moja ihali walizikuta alizoacha Baba wa taifa karibu 10? Hilo hamlioni kwa sababu ya makengeza.
Mbona JK aliweza kuajiri kila mwaka na kuongeza mishahara nyie mnakwama wapi?
Unaweza kuweka ushahidi hapa ambapo Serikali ilienda kuomba msamaha WB au IMF?Selikari ya awamu ya tano INA laana, ndoma maana haifanikiwi, na majanga yanaiandama dunia kwa sababu ya dhambi wanazotenda,
Walijidai kukopo China sasa holaa
Wameenda kuomba msamaha ili wakope WB na IMF, nako bado kugumu.
Sasa hivi wanawakamua wanyonge kupitia TRA, siku huzi tra wanatumbusha kulipa kodi kwa Message,
Na hili janga LA corona sijui kama litawwacha salama bila kulisambaratisha hili genge LA wahuni wa awamu ya tano
Bomba la hoima limeshamalizika linafanya kazi ni vile tu serikali haipendi kujionyesha ni kama vile Ally Kiba asivyopenda kujionyesha tu.
Tuliwaambia mechi hushindwa baada ya dakika 90, sio unapata goli dakika ya 5 unajigamba umeshinda mechi. Na nyie vilaza ndio mkawa mnaeneza propaganda mfu eti nchi hii haijawahi kuwa na rais kama Magu. Kuna wenzio huwa wanasema nchi hii ina hospitali 67 za wilaya zinajengwa, na vituo 350 nchi nzima. Huwa tunawaambia ni data za kupika kwani magu ni bingwa wa data za kupika. Tukiwaambia waweke list ya hivyo vituo na hospitali na mahali zilipo ili tujiridhishe wanapotea. Huu ni wakati wa digitali, huwezi kuendesha nchi kwa propaganda mfu na bado ukatoboa, sana sana utaishia kutumia mabavu pasipohotajika.
CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO
Chadema at work,WATANZANIA na dunia nzima tuko busy na corona ila nyinyi mko busy na saccos ya wavamia magereza!
Tangu lini DJ akaweza kuongoza busara ya wavuta bhange kama kina mdee?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huyo NKapa na JK walikuwa chama gani na jiwe ni chama gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Update ni kwamba Stiglers Gorge inaendelea vizuri. Sema maji yamejaa yamesababisha kusimama kwa uchimbaji wa diversion tunnel, mvua ikikata maji yakaisha kazi inaendelea kama kawaida. Kwa hili serikali inapaswa kupongezwa.
SGR pia ni project nzuri, iwapo itakamilika tutaona matunda yake. Kwa sasa hii ya Morogoro Dar iko karibu 80% na natumaini kufikia December mwaka huu itakua tayari. Ile ya Moro Dom iko 30%, 2024 au kabla ya hapo itakamilika.
Katika project naunga mkono na nafuatilia ni hizi kwa sababu zina long term benefits kuliko nyingine zote.