Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie. Mbona kama mbwembwe zimepungua? Tunakwama wapi?

Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie. Mbona kama mbwembwe zimepungua? Tunakwama wapi?

Jamani tuko katika maombelezo, hujui train ya sgr imeua watanzania? ianze mara ngapi?
 
You guys are so funny. Nimewapa zoezi jepesi kabisa. Kama unataka real updates za SGRtz nenda youtube kwenye page ya mkandarasi Yapi. It's very annoying kuona mtu yuko JF na hapo hapo jf kuna thread inayotoa live updates za mradi kisha anakuja na thread za kimbea mbea kama hizi. Nenda kwenye thread ya Sgr tz vs Sgr Kenya ndio utajua kuwa mnaotamani miradi hii ifeli mtazidi kusononeka kila uchao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unashauri kila kitu twende you tube JF ya nini sasa, mind you mtu anapouliza swali public inawezekana si kwa faida yake pekee ni faida kwa wengine pia.
 
Cha ajabu ni kwamba, wao kwenye ilani Yao kulikuwepo hiyo ya ununuzi wa ndege, sijui walikuwa wakimanisha watanunua ndege Aina ya kunguru?

Wenzetu ijapokuwa ni watu wazima Ila wamejilazimisha wawe watoto, hawana kumbukumbu tena kipindi hicho walikuwa wakihitaji nini na walikuwa wakinadi nini
Walikwambia watanunua kwa cash.
 
Unabisha kwa vile wewe robot huna namna lazima ubishe ili ulipwe Buk 7 ila ukweli utabakia pale pale kuwa hakuna dawa kwenye mahospitali ya Serikali.
 
You are not following the discussion, that's why unasema nijikite kwenye mada.

When it comes to following issues, you are the least to point fingers. If you go back and see why I responded like that. You will have a difficult time to paint JPM in a negative way, Tanzanians aren't foolish.
 
kabaki pole pole na porojo zake et upinzani sawa na corona mshamba kweli yule hivi ana akili timamu kweli amuoni mwezie nape sasa limemshuka anashinda vijiweni huko mtama akiwaomba vijana wampe tena kura na sijui kama atarudi tena
Mkuu angekuwa na akili timamu asingepata zero pale Azania.Yaani Mr.Slow slow ni zero anayefanya kazi na zero wenzake
 
Kwa habari ya SGR:

Ukipita Pale TRC stesheni kazi zote zimesimama, Kuna mataruma yametelekezwa chini ya hilo daraja wamelijenga tangu December hayajapandishwa mitambo yote imeondolewa

Taarifa ni kwamba Kampuni mshirika ya Motor Engil Africa ya Kireno imejitoa kwenye mradi🤷‍♂️
Anashindwaje sasa kuwapa JWTZ? Au SGR haiwezi kugwuka kifaru cha jeshi Kama kile kivuko kibovu
 
Hivi waziri mwenye dhamana ameshindwa nini kuwazuia wale wote wanaoikandia ATCL kupata huduma kwenye ndege zetu? Tufike mahali jino liwe kwa jino. Zito na genge lake la wahuni wasipate hudumu kwenye ndege zetu. Wao wana pesa kutoka kwa shangazi zao wawakodishie private jets.
Wewe ni mjinga,kwani wanapewa huduma bure? Wambie wazuie uone nani ataumia
 
Tuliambiwa SGR Dar to Morogoro ingeanza Dec mwaka jana, Stiegler's Gorge nayo kimya. Sio Msemaji wa serikali wala Polepole wala praise team wanaogusia, nini kimewapata.

Bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga lilizinduliwa kwa mbwembwe tukaonywa atakayekwamisha atakiona, nani sasa amekwamisha. Je ule wimbo wetu wa kuhamia Dodoma umeishia wapi?

Tanzania ya viwanda imefikia wapi, juzi tuliambiwa tuna viwanda vikubwa, vya kati, vidogo na vidogo sana, sijui hivyo vidogo sana ni vya wachoma mahindi?

Ndege zetu zimepaki? yaani.

Mambo ni mengi sana muda hautoshi.

Serikali ya CCM mpaka Sasa hawana Fedha ya kuendesha hiyo miradi...! Walitegemea Fedha ya MAKINIKIA ambayo mpaka Leo haijalipwa.,!
 
When it comes to following issues, you are the least to point fingers. If you go back and see why I responded like that. You will have a difficult time to paint JPM in a negative way, Tanzanians aren't foolish.
So you are sick because somebody criticises your sycophant President?? Why did you go to school then? Only to be a boot licker!! I assure that anybody with sane mind will not bend to the intolerable atrocities this man is doing to our nation. You would rather go to hell than stop me from exercising my basic inalienable right of freedom of expression.
 
So you are sick because somebody criticises your sycophant President?? Why did you go to school then? Only to be a boot licker!! I assure that anybody with sane mind will not bend to the intolerable atrocities this man is doing to our nation. You would rather go to hell than stop me from exercising my basic inalienable right of freedom of expression.

No one is forcing you to do anything, and for that matter you can express your views as you like. At the moment JPM is the chosen one whether you like it or not. Your party ooops ..... ...… Sacos is a minority and will remain so for a long time to come. The reason being that you have no genuine agenda to transform the lives of the majority. JPM is a game changer and the results are seen by the majority of this country. Aluta continua, we are heading to the real Tanzania which was envisaged by our founders.
 
Back
Top Bottom