Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unashauri kila kitu twende you tube JF ya nini sasa, mind you mtu anapouliza swali public inawezekana si kwa faida yake pekee ni faida kwa wengine pia.You guys are so funny. Nimewapa zoezi jepesi kabisa. Kama unataka real updates za SGRtz nenda youtube kwenye page ya mkandarasi Yapi. It's very annoying kuona mtu yuko JF na hapo hapo jf kuna thread inayotoa live updates za mradi kisha anakuja na thread za kimbea mbea kama hizi. Nenda kwenye thread ya Sgr tz vs Sgr Kenya ndio utajua kuwa mnaotamani miradi hii ifeli mtazidi kusononeka kila uchao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikwambia watanunua kwa cash.Cha ajabu ni kwamba, wao kwenye ilani Yao kulikuwepo hiyo ya ununuzi wa ndege, sijui walikuwa wakimanisha watanunua ndege Aina ya kunguru?
Wenzetu ijapokuwa ni watu wazima Ila wamejilazimisha wawe watoto, hawana kumbukumbu tena kipindi hicho walikuwa wakihitaji nini na walikuwa wakinadi nini
Bado, kama wewe umeshatembelea tupe updates.Kazi zinaendelea, ulishatembelea site kunakofanyika hiyo miradi?
Including wewe?Asante mkuu EZZ CHEZZ. Humu jukwaani kila mmoja wetu anajifanya anajua kila kitu.
Sijaongea kiujuaji kuhusiana na masuala nyeti ya kiserikali, najua kuwa nastahili kuelimishwa.Including wewe?
wewe jamaa mjinga sana!Bado, kama wewe umeshatembelea tupe updates.
Heri kuwa mjinga kuliko kuwa mpumbavu.wewe jamaa mjinga sana!
narudia tena wewe jamaa ni mjinga sanaHeri kuwa mjinga kuliko kuwa mpumbavu.
You are not following the discussion, that's why unasema nijikite kwenye mada.Jikite kwenye mada na issue sio kurukaruka kama kunguru.
You are not following the discussion, that's why unasema nijikite kwenye mada.
Mkuu angekuwa na akili timamu asingepata zero pale Azania.Yaani Mr.Slow slow ni zero anayefanya kazi na zero wenzakekabaki pole pole na porojo zake et upinzani sawa na corona mshamba kweli yule hivi ana akili timamu kweli amuoni mwezie nape sasa limemshuka anashinda vijiweni huko mtama akiwaomba vijana wampe tena kura na sijui kama atarudi tena
Anashindwaje sasa kuwapa JWTZ? Au SGR haiwezi kugwuka kifaru cha jeshi Kama kile kivuko kibovuKwa habari ya SGR:
Ukipita Pale TRC stesheni kazi zote zimesimama, Kuna mataruma yametelekezwa chini ya hilo daraja wamelijenga tangu December hayajapandishwa mitambo yote imeondolewa
Taarifa ni kwamba Kampuni mshirika ya Motor Engil Africa ya Kireno imejitoa kwenye mradi🤷♂️
Waambie tu ziko mata.koni mwao.Ukisikia usije ukasema taarifa za uongo maana nyie BAVICHA hamtaki kusikia ukweli hasa wa miradi mikubwa. Ni suala la muda kabla ya kuukimbia uzi wako
Wewe ni mjinga,kwani wanapewa huduma bure? Wambie wazuie uone nani ataumiaHivi waziri mwenye dhamana ameshindwa nini kuwazuia wale wote wanaoikandia ATCL kupata huduma kwenye ndege zetu? Tufike mahali jino liwe kwa jino. Zito na genge lake la wahuni wasipate hudumu kwenye ndege zetu. Wao wana pesa kutoka kwa shangazi zao wawakodishie private jets.
Anzisha uzi wako!
Tuliambiwa SGR Dar to Morogoro ingeanza Dec mwaka jana, Stiegler's Gorge nayo kimya. Sio Msemaji wa serikali wala Polepole wala praise team wanaogusia, nini kimewapata.
Bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga lilizinduliwa kwa mbwembwe tukaonywa atakayekwamisha atakiona, nani sasa amekwamisha. Je ule wimbo wetu wa kuhamia Dodoma umeishia wapi?
Tanzania ya viwanda imefikia wapi, juzi tuliambiwa tuna viwanda vikubwa, vya kati, vidogo na vidogo sana, sijui hivyo vidogo sana ni vya wachoma mahindi?
Ndege zetu zimepaki? yaani.
Mambo ni mengi sana muda hautoshi.
So you are sick because somebody criticises your sycophant President?? Why did you go to school then? Only to be a boot licker!! I assure that anybody with sane mind will not bend to the intolerable atrocities this man is doing to our nation. You would rather go to hell than stop me from exercising my basic inalienable right of freedom of expression.When it comes to following issues, you are the least to point fingers. If you go back and see why I responded like that. You will have a difficult time to paint JPM in a negative way, Tanzanians aren't foolish.
So you are sick because somebody criticises your sycophant President?? Why did you go to school then? Only to be a boot licker!! I assure that anybody with sane mind will not bend to the intolerable atrocities this man is doing to our nation. You would rather go to hell than stop me from exercising my basic inalienable right of freedom of expression.