matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Sasa watu wachache kupiga pesa ndio Katiba.
Rudi shule ukajielimishe, kumbe umeanzisha mada ukiwa na MAJIBU YAKO MFUKONI?Sasa watu wachache kupiga pesa ndio Katiba.
Mbona Yuda alipiga pesa na hawakuwa hata na katiba. Upigaji ni Moja ya dhambi kongwe.
Sijaona katiba inapoingia hapo. Dadavua Kwa kina kidogo Bro
Mimi Niko neutral.Rudi shule ukajielimishe, kumbe umeanzisha mada ukiwa na MAJIBU YAKO MFUKONI?
Nimekuonesha MATUNDU ya ubovu wa katiba, wewe unatetea wezi. Huko yuvisisiemu hamjawahi kufundishwa neno UADILIFU kabisa, sivyo? Endelea na uchawa wako nduguMimi Niko neutral.
Nahoji maelezo yako.
Natafuta connection na katiba naikosa. Ukiunga inakuwa vzr mkuu.
Lakini nashukuru Sana Kwa mchango
Basi tuishi bila katiba kama mnaamini katiba ni kitu kisicho na maana.Nimekaa sehemu na watu makini wanabishana Katiba ilivyoathili maisha yao na mimi nimepata cha kuuliza kwa wakuu humu...
Sio kazi nyepesi kuchomoa ndani ya MILKSHAKE wezi wa mali za umma, wako tayari kufia hapo... katiba mpya ni sasaKenya walipata katiba mpya miaka kadhaa iliyopta, je katiba hiyo imemaliza njaa na umasikini kwenye taifa lao? Je gap kati ya matajiri na masikini limeisha? Je ajira zimeongezeka...
Mkuu hutapata jibu la maana hapa wataishia kujikanyaga na kukukejeli tu.Nimekaa sehemu na watu makini wanabishana Katiba ilivyoathili maisha yao na mimi nimepata cha kuuliza kwa wakuu humu...
Katiba inazuiaje wizi?Nimekuonesha MATUNDU ya ubovu wa katiba, wewe unatetea wezi. Huko yuvisisiemu hamjawahi kufundishwa neno UADILIFU kabisa, sivyo? Endelea na uchawa wako ndugu
Kumbe tunabishana na mtoto mdogo hapa? Wewe ni muha wa Kigoma, sivyo? Unashindwaje kuelewa kwamba katiba imara inaleta uwajibikaji? Kiongozi akijua anaweza kuchukuliwa hatua muda wowote ule, anaweza kufanya UHALIFU wa wazi wazi?Katiba inazuiaje wizi?
Usijibu kwa mihemko hapa tunajadili so weka jazba pembeni. Katiba ya sasa haizui viongozi kuwahibishwa na ndio maana kuna sheria ambazo zimetokana na sheria mama ambayo ndio katiba ambazo ndio mahakama hutafsiri kuwahukumu hao waliokwenda kinyume kwenye utendaji wao ndio narudia kusema tunahitaji viongiozi bora.Kumbe tunabishana na mtoto mdogo hapa? Wewe ni muha wa Kigoma, sivyo? Unashindwaje kuelewa kwamba katiba imara inaleta uwajibikaji? Kiongozi akijua anaweza kuchukuliwa hatua muda wowote ule, anaweza kufanya UHALIFU wa wazi wazi?
Haya wahi kuchukue elfu saba yako sasa
Wakenya wape muda kidogo, Kenya ule upuuzi wa Raisi kuzima internet nchi nzima kama alivyowafanyia Magu au watu kama Makonda na Sabaya kuweka watu ndani bila mashtaka wamesahau sasa and it will never come back, pesa wanakusanya inatumika ilipokusanywa kwa utaratibu mzuri sio chama cha siasa kinaamua, kuna mengi watafanikiwa kutokana na check and balance waliyoiweka kwenye katiba, na media sasa zina nguvu kuongea bila woga kitu ambacho ni muhimu sana kwa ustawi wa nchi inayofuata hakiKenya walipata katiba mpya miaka kadhaa iliyopta, je katiba hiyo imemaliza njaa na umasikini kwenye taifa lao? Je gap kati ya matajiri na masikini limeisha? Je ajira zimeongezeka...
Swali kwenye uzi hujalijibu mkuu. Hayo uliyajibu yanamafuaa kwa wanasiasa vipi kuhusu kuodoa njaa na unasikini?Wakenya wape muda kidogo, Kenya ule upuuzi wa Raisi kuzima internet nchi nzima kama alivyowafanyia Magu au watu kama Makonda na Sabaya kuweka watu ndani bila mashtaka wamesahau sasa and it will never come back...
Una elimu gani tuanzie hapo kwanza!Mimi Niko neutral.
Nahoji maelezo yako.
Natafuta connection na katiba naikosa. Ukiunga inakuwa vzr mkuu.
Lakini nashukuru Sana Kwa mchango
Huoni manufaa ya media zenye nguvu na zilizo huru zinazoweza kuibua ufisadi bila woga na watu wakawajibika? huoni kuna kasoro kama mtu mmoja anaweza kuzima internet nchi nzima? unaona sawa mwanasiasa kama mkuu wa wilaya kukuweka ndani bila mashtaka?Swali kwenye uzi hujalijibu mkuu. Hayo uliyajibu yanamafuaa kwa wanasiasa vipi kuhusu kuodoa njaa na unasikini?