christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Katiba haiwezi kuzuia kiongozi kuwa mwizi ni malezi pekee aliyopata huyo kiongozi ndio yatamfanya awe mwizi au aeshimu mali ya uma. Mfano mzuri ni humu jukwaani ukisoma thread za watu vizuri utagundua yupi kalelewa na bibi na yupi kalelewa na wazazi wake.Hao viongozi waziri unaowasema watapatikanaje Sasa bila katiba Bora yenye kuweka Msingi wa kwenda mahakamani kura zikiibiwa. Katiba ikiwa mbovu kama hii tuliyonayo rais akiamka anaweza kusema chochote na kikawa Sheria na wewe kikakuathiri moja kwa moja na huna pa kwenda mana mahakama zote zinapewa marlekezo kwamba funga nani acha nani. Mfano mzuri ni dictator jpm
Kwamba katiba itamtisha mtu aisiibe? Wala sidhani au utadai kwamba akiiba atawajibishwa? Ni wangapi wameliibia hili taifa na walipoanza kuwajibishwa na JPM mkamwita dictator? Ni wazembe wangapi walitumbuliwa mkawatetea kwa katiba hii yaani ni kama mnataka kuwaona watu wajinga.
Mimi sipingi ujio wa katiba mpya ila napingana na vijisababu mnavyovitoa wakati sababu kubwa ya wanasiasa kudai katibu mpya ni kwa ajili ya kutafuta vyeo na madaraka wala sio kwa ajili ya wananchi. Unataka kuniambia wanasisa hasa upinzani ndio wana uchungu na maisha ya mtanzania kuliko mtanzania mwenyewe.