Mwenye ushahidi Mbowe kula ruzuku ama kupewa rushwa auweke hapa!

Mwenye ushahidi Mbowe kula ruzuku ama kupewa rushwa auweke hapa!

Sasa wewe chawa wa jizi hatuwezi elewana. Mimi ni mzalendo
Umeona nimejiita chawa ama wewe ndiyo unajiita chawa. Usitake wote tuwe chawa maana wengine tunajua kwamba chawa nje ya uchafu huwezi kumkuta.

Ukiona wewe unajiita chawa ujue ili maisha yako yaende ni lazima uwe kwenye uchafu.
 
Kwa hali yoyote CHADEMA hawakushindwa kujenga ofisi kubwa za chama chao za ghorofa hata 3 kama wangetaka, ila itakuwa tu hawakuona umuhimu wa kufanya hivyo jambo ambalo likikuwa kosa kubwa la kisiasa.

Ni kweli hakuna umuhimu kabisa wa vyama kumiliki majengo au kufanya biashara, kwa sababu havina tija yoyote katika kuongeza demokrasia ya nchi, utawala bora au maendeleo, zaidi sana vinaharibu demokrasia ndani ya vyama kwa kuzigeuza siasa kuwa ujasiriamili na kuzalisha career politicians wasioweza kufanya jambo lolote nje ya siasa.
Ila raia wengi hawana ufahamu huu, ilibidi tu CHADEMA wamiliki majengo mawili matatu kufuta hizi kelele za kijuha.
Hili suala la jengo unaziita ni kelele za kijuha; ila bado unadhani CDM walitakiwa kuzifanyia kazi... huoni kuwa unajichanganya hapo. Kama ni za kijuha CDM wako sahihi kuzipuuza.
Mimi siamini kwa siasa za bongo hii kuwa na jengo Zuri kuna tija kwa chama na wananchi kwa ujumla. Chama kina changamoto nyingi zinazohitaji resources zaidi ya kuwa na jengo la ghorofa.
Wanachofanya CDM nawaunga mkono 💯 % jengo sio priority... wanahitaji kupanuka kwanza on grassroots level.
Hizi akili za kijuha tuziache huku huku kwenye mitandao hazina value kwa uhalisia.
 
Siasa za bongo hazija mature kiasi cha wengi kuwelewa hakuna umuhimu chama kumiliki ofisi au biashara. Pia kumbuka sio kipindi kirefu ambacho tumetoka katika mfumo wa chama kimoja ambapo chama kilikuwa kinamiliki mali, kufanya biashara na kuwa sehemu ya uchumi, hiyo legacy bado ipo. Raia wamezoea kuona majengo ya kumilikiwa na chama na wanahusianisha hilo na ubora wa chama, upinzani nao ilibidi uambae katika hiyo saikolojia kwa kipindi fulani mpaka pale raia wengi watakapopata uelewa mpana.
Hili suala la jengo unaziita ni kelele za kijuha; ila bado unadhani CDM walitakiwa kuzifanyia kazi... huoni kuwa unajichanganya hapo. Kama ni za kijuha CDM wako sahihi kuzipuuza.
Mimi siamini kwa siasa za bongo hii kuwa na jengo Zuri kuna tija kwa chama na wananchi kwa ujumla. Chama kina changamoto nyingi zinazohitaji resources zaidi ya kuwa na jengo la ghorofa.
Wanachofanya CDM nawaunga mkono [emoji817] % jengo sio priority... wanahitaji kupanuka kwanza on grassroots level.
Hizi akili za kijuha tuziache huku huku kwenye mitandao hazina value kwa uhalisia.
 
CHADEMA tulitegemea iwe tofauti. Sasa kama ilizunguka miaka 8 ikisema lowassa ni fisadi halafu baadaye ikasema si fisadi sasa ni vigumu kuamini kingine watakachosema maana ni vigumu kutofautisha ni wapi wanasema ukweli na wapi wanasema uongo.
Ni wakati gani CHADEMA ilisema Lowassa ni fisadi na ufisadi wake ulikuwa nini!!??

CHADEMA iliwahi kumwita Lowassa fisadi lakini katika muktadha upi??
 
Siasa za bongo hazija mature kiasi cha wengi kuwelewa hakuna umuhimu chama kumiliki ofisi au biashara. Pia kumbuka sio kipindi kirefu ambacho tumetoka katika mfumo wa chama kimoja ambapo chama kilikuwa kinamiliki mali, kufanya biashara na kuwa sehemu ya uchumi, hiyo legacy bado ipo.
Malengo ya chama iwe ni kwenye matured environment au lah ni kuwin ushawishi na kupata wafuasi wengi watakao weza kuwapigia kura ili washike hatamu.
Katika hili wananchi huwa wanataka wale watakao wasemea matatizo yao na kupelekea suluhisho. Majengo hayajawahi kuwa part ya vigezo vya vyama kukubalika na wananchi hata kidogo. Ni propaganda tuu ya kijuha.
Tuchukulia mfano CDM imejenga jengo kubwa Dar la ofisi... wale wananchi kule Chimala, Namtumbo, Mpanda, etc lini watajua chama kina jengo kubwa Dar hivyo tuwachague???? Jengo la Dar litawasaidia ni wao huko waliko?? Else itatakiwa kumbe CDM ijenge majengo makubwa labda kila mahali.... ni ujuha tuu kwa kweli...
Jengo kwa kweli is a least of priority katika mambo nyeti ya kufanywa na vyama.
 
Tindo Ofisi za CHADEMA zilizojengwa kwa nguvu za wanachama ziko nyingi za kutosha tu. fanya utafiti.

Lakini kimantiki Ofisi za CHADEMA zimepunguza kiasi gani ufanisi wa CHADEMA kujipambanua kwa wananchi??
Mkuu siwezi kuzunguka nchi nzima kufanya utafiti wa ofisi za cdm, ni wao walipaswa kuwa na website iliyo active waweke hizo habari humo. Lakini website ni kama imetelekezwa, Sasa hata kama website ambayo subscription na maintenance yake kwa mwaka haifiki 1m Iko hoi, Nina haja gani ya kufuatilia hayo mengine?
 
Tindo kuhusu Tovuti ya chama kwa kweli inasikitisha sana...

Suala siyo pesa ya kuiendesha bali vijana wa TEHAMA wanaona kama vile mambo ya Tovuti ni uzamani. wao wapo bize na Zoom, Thread, Whatsapp" Club House na X.
 
Tindo kuhusu Tovuti ya chama kwa kweli inasikitisha sana...

Suala siyo pesa ya kuiendesha bali vijana wa TEHAMA wanaona kama vile mambo ya Tovuti ni uzamani. wao wapo bize na Zoom, Thread, Whatsapp" Club House na X.
Mkuu suala la tovuti sio jambo la ujana, Bali ni la kiofisi. Labda useme cdm inaendeshwa kwa utashi wa ujana.
 
Mbowe ni fisadi km walivyo viongozi wa CCM.
1: Alimuuzia ugombea urais 2015 Lowasa tena kwa kuvunja katiba ya chama.

2: Pia Alikula hela iliyotolewa na SABODO kwa ajili ya kuchimba visima kila wilaya.

3: Luzuku ya chama kaifisadi bila huruma.

4:Kaingia maridhiano yasiyoeleweka na mama Samia hadi sasa hawezi kuongelea ufisadi wowote unaofanyika nchi hii chini ya utawala huu.

5:Na Madudu mengine mengi tu!;😭
Screenshot_20210916-123456.png
 
Sio rahisi Mbowe kuhongwa ila kuna namna hakujua kupangilia vipaumbele na taswira yake vizuri kwa kadri ya mahitaji ya siasa za kibongo.
Unaweza kutuwekea hapa hivyo alivyokosea unavyovifahamu wewe ambavyo sisi wadau tunaweza kuvikubali ?
 
Unataka ushahidi upi? Anatakiwa atoe matumizi ya ruzuku aweke mchanganua wa hesabu tuone kutuambia tulete ushahidi wakati akaunti ya ruzuku yeye ndiyo anatoa pesa unataka twenda benki kuomba statement ?
Akuwekee wewe huo mchanganuo ili iweje?! Tunachojua hiyo akaunti huwa inakaguliwa na CAG na wala haijawahi kuwa hoja ya ukaguzi hata mara moja. Nyie machawa ndo mnajua mchanganuo zaidi ya CAG? Pelekeni huko.
 
Kama wewe una ushahidi kwamba Freeman Mbowe anakula Ruzuku za CHADEMA ama yeye binafsi au uongozi mzima wa CHADEMA yeye akiwa mwenyekiti wake, walipewa rushwa na CCM ili waache harakati za kuipigania Tanganyika na Zanzibar, uuweke hapa ili watanzania wote wauone.

Sema kweli ama kaa Kimya!!
Ile nyumba yake kule machame inasema yote ila viwavi wa cdm watakuambia kuwa Mbowe ni mfanyabiashara ,cha kushangaza hata kule TRA twx return za mbowe ni ndogo saaana
 
Back
Top Bottom